Simba SC kucheza mechi 3 za kirafiki dhidi ya Bandari FC, Mashujaa United na Black Eagles FC

Simba SC kucheza mechi 3 za kirafiki dhidi ya Bandari FC, Mashujaa United na Black Eagles FC

Kwa nini Mashujaa? Ni agizo la mganga wa timu au ni kutaka tu kuondoa soo kwa kuikamia kuifunga magoli mengi, ikibidi hata kwa kuwapa rushwa! baada ya kutolewa kwa aibu kwenye Azam Sports Federation Cup msimu uliopita?
Mkuu unapoint🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
kweli maisha hayako fair wakati Yanga wanajiandaa kwenda Misri kucheza na Pyramids, Simba wanaelekea Kigoma kucheza na mashujaa
 
kweli maisha hayako fair wakati Yanga wanajiandaa kwenda Misri kucheza na Pyramids, Simba wanaelekea Kigoma kucheza na mashujaa
Exactly...Wengine walikuwa Mabingwa kwa nchi katika nchi zao ndipo wakashiriki.. lakini wengine walishiriki kwa kubebwa na timu bingwa..Maisha hayako sawa..!
 
kweli maisha hayako fair wakati Yanga wanajiandaa kwenda Misri kucheza na Pyramids, Simba wanaelekea Kigoma kucheza na mashujaa
Kucheza tu bila kupata hela za CAF ni kuwatia hasara wananchi waliojichanga
 
Dunia nzima ipo kwenye kalenda ya fifa, simba wako bize na mechi za kirafiki.

Kuna Soka la weledi afu kuna soka la ridhaa la Tanzania.
 
Kwahiyo Mikia fc baada ya kukosa mechi za kimataifa wameona wajifariji na vimechi vya kuokoteza

ila sio mbaya mtaungana na ndugu zenu Vyura fc mwezi wa 11
 
Back
Top Bottom