Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Greda linaendelea vizuri tu na kazi pale hata leo nimepita,endeleeni na kelele zenu na picha za mwaka 47Kuna mvua dar....sijajua wenzetu wanaendleaje pale kwao..
Mkuu unapointπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Kwa nini Mashujaa? Ni agizo la mganga wa timu au ni kutaka tu kuondoa soo kwa kuikamia kuifunga magoli mengi, ikibidi hata kwa kuwapa rushwa! baada ya kutolewa kwa aibu kwenye Azam Sports Federation Cup msimu uliopita?
Mnaenda kulipiza kwa mashujaa?πThis is Simba.
Wakitoka Kigoma wanarudi
ligi kuu Azam anapigwa 3-0.
YongoooooooGreda linaendelea vizuri tu na kazi pale hata leo nimepita,endeleeni na kelele zenu na picha za mwaka 47
Exactly...Wengine walikuwa Mabingwa kwa nchi katika nchi zao ndipo wakashiriki.. lakini wengine walishiriki kwa kubebwa na timu bingwa..Maisha hayako sawa..!kweli maisha hayako fair wakati Yanga wanajiandaa kwenda Misri kucheza na Pyramids, Simba wanaelekea Kigoma kucheza na mashujaa
Kucheza tu bila kupata hela za CAF ni kuwatia hasara wananchi waliojichangakweli maisha hayako fair wakati Yanga wanajiandaa kwenda Misri kucheza na Pyramids, Simba wanaelekea Kigoma kucheza na mashujaa
Mechi ya CAF???Kiingilio kuelekea mchezo wa kirafiki Simba SC Vs Bandari FCView attachment 1226986
ee mola sikia kilio changu mimi mja wakoDoooh. π€π€π€
Kumbe hata nyasi huwa zinalika saa nyingine eee.
π³π³π³ kilio cha nini?ee
ee mola sikia kilio changu mimi mja wako
ukubal lile ombiiiii langu lileeπ³π³π³ kilio cha nini?
Hakuna ombi la kukubaliwa Kibabu hivyo muache Shadeeya wa watu.ukubal lile ombiiiii langu lilee