denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Salaam!.
Kama tunavyoona, waliokuwa wawakilishi wengine kwenye mashindano ya kimataifa hapa nchi wameshatolewa, na mmoja ndio anaelekea kwenda Tunisia kutolewa hiyo tarehe 9.11.2022.
Kama tujuavyo, uwakilishi wa timu nne ulioipata nchi yetu kwa kiasi kikubwa kulichangiwa na mafanikio ya klabu ya Simba iliyoyapata kwenye mashindano ya kimataifa miaka ya karibuni.
Hivyo, kwa hali ilivyo, nawaona Simba SC wakiendelea kuwa viongozi wa mpira wa Tanzania, kwa kuhakikisha wanaendelea kuipigania nchi yetu ipate wawakilishi wanne kwenye mashindano ya kimataifa.
Nikiwa kama shabiki wa mnyama, nawatakia Simba SC kila lililo jema kwenye jukumu kubwa lililopo mbele yao ambalo wameshathibitisha wanaweza kulifanya kwa ukamilifu bila shaka yoyote.