Simba SC kuendelea kuwabeba wengine kimataifa

denooJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2020
Posts
18,509
Reaction score
68,228
Salaam!.

Kama tunavyoona, waliokuwa wawakilishi wengine kwenye mashindano ya kimataifa hapa nchi wameshatolewa, na mmoja ndio anaelekea kwenda Tunisia kutolewa hiyo tarehe 9.11.2022.

Kama tujuavyo, uwakilishi wa timu nne ulioipata nchi yetu kwa kiasi kikubwa kulichangiwa na mafanikio ya klabu ya Simba iliyoyapata kwenye mashindano ya kimataifa miaka ya karibuni.

Hivyo, kwa hali ilivyo, nawaona Simba SC wakiendelea kuwa viongozi wa mpira wa Tanzania, kwa kuhakikisha wanaendelea kuipigania nchi yetu ipate wawakilishi wanne kwenye mashindano ya kimataifa.

Nikiwa kama shabiki wa mnyama, nawatakia Simba SC kila lililo jema kwenye jukumu kubwa lililopo mbele yao ambalo wameshathibitisha wanaweza kulifanya kwa ukamilifu bila shaka yoyote.
 
Ila Uto bado hawajatolewa. Wanaenda kupindua mkeka kibabe kule kwa waarabu weupe

Au nasema uongo ndugu zangu?

Basi hili nalo mkalitazame
 
Yaani yanga wamechukua tabia za ndugu zao kabisa TOT na CCM hawatambui mchango wa Simba na wanawafurumishia mitusi Kila kukicha. Kama ilivyo CCM kuwatukana wananchi.
 
CAF CHAMPIONS LEAGUE ili ushiriki kigezo no. 1 ni kuwa BINGWA KWENYE NCHI YAKO.
Je YANGA hakuwa BINGWA nchini kwake??

CAF CONFEDERATION CUP ili ushiriki kigezo ni Uwe mshindi wa pili au mshindi wa kombe la FA.

YANGA hakuwa BINGWA wa FA nchini kwake??

YANGA AMEINGIA KLABU BINGWA KWA NGUVU ZAKE MWENYEWE.
 
Sawa Wala mihogo..
 
Sawa Wala mihogo..
IMG-20221101-WA0038.jpg
 
Wanaanza kuomba msaada sasa. Tulishawaambia ncha ya mkuki haipigwi konzi.
 
Hiyo simba yako itajibeba yenyewe, na wale wadogo zenu wa Azam! Au akina Namungo na Geita Gold!

Ukija kwa Yanga, ukweli uko wazi! Haibebwi na yeyote yule! Badala yake inajibeba yenyewe kwa jasho lake.

Imagine msimu uliopita, alikuwa ni Bingwa wa Ligi kuu, na pia bingwa wa ASFC! Maana yake alikuwa na sifa ya moja kwa moja ya kushiriki mashindano yote ya CAF.
 
Ila Uto bado hawajatolewa. Wanaenda kupindua mkeka kibabe kule kwa waarabu weupe

Au nasema uongo ndugu zangu?

Basi hili nalo mkalitazame
Wawe makini wasije kupinduliwa wao.
 
Yaani yanga wamechukua tabia za ndugu zao kabisa TOT na CCM hawatambui mchango wa Simba na wanawafurumishia mitusi Kila kukicha. Kama ilivyo CCM kuwatukana wananchi.
Walichangia 0.5 points kwa miaka yote waliyoshiriki kimataifa.
 
CAF CHAMPIONS LEAGUE ili ushiriki kigezo no. 1 ni kuwa BINGWA KWENYE NCHI YAKO.
Je YANGA hakuwa BINGWA nchini kwake??

CAF CONFEDERATION CUP ili ushiriki kigezo ni Uwe mshindi wa pili au mshindi wa kombe la FA.

YANGA hakuwa BINGWA wa FA nchini kwake??

YANGA AMEINGIA KLABU BINGWA KWA NGUVU ZAKE MWENYEWE.
Mshindi wa ligi kuu anashindwa kimataifa, huyo hakushinda ligi kuu bali alibebwa ndio maana maana hata club bingwa na shirikisho ameonekana kilaza MLA MIHOGO
 
Mkuu Simba imewahi kushinda Kuchukua Klabu Bingwa Afrika?
 
Hiyo simba yako itajibeba yenyewe, na wale wadogo zenu wa Azam! Au akina Namungo na Geita Gold!

Ukija kwa Yanga, ukweli uko wazi! Haibebwi na yeyote yule! Badala yake inajibeba yenyewe kwa jasho lake.

Imagine msimu uliopita, alikuwa ni Bingwa wa Ligi kuu, na pia bingwa wa ASFC! Maana yake alikuwa na sifa ya moja kwa moja ya kushiriki mashindano yote ya CAF.
Kwa ile rekodi yenu kimataifa, nyie ni wakubebwa kama madogo wengine.
 
Back
Top Bottom