nteze john lungu
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 214
- 200
Muda ni mwalimu mzuri sana asee leo yanga wamekua ombaomba wa kutupwa na simba wako juu wako kileleniNgoma huyuhuyu anayekipiga Yanga aende tope fc? Acha utani hamna hela ya kumpa Ngoma nyinyi, kwanza ashapata timu kwa madiba huko atakubali vip kuja kucheza ndondo