Simba SC kufukuza wachezaji wake tano wa kigeni

Ngoma huyuhuyu anayekipiga Yanga aende tope fc? Acha utani hamna hela ya kumpa Ngoma nyinyi, kwanza ashapata timu kwa madiba huko atakubali vip kuja kucheza ndondo
Muda ni mwalimu mzuri sana asee leo yanga wamekua ombaomba wa kutupwa na simba wako juu wako kileleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…