SahihiIngawa tutakosa amani kwa makelele, ila nawaombea mpate ushindi. Mkishinda Tanzania imeshinda, Yanga ikishinda Tanzania imeshinda.
Naaminj mtapigana haijwahi kutokea. Kwa nn? Kwa sababu mnajua kwa miaka minne sasa mnaishia robo fainali, ila mtani wenu kaja first attempt tu mguu mmoja uko ndani ya semi final. Kitu ambacho hamtokubali kukiskia maskioni mwenu.
Sio na Wydad! Abajalo Faru Dume na Lipuli sawa!Huku ni Club BINGWA kaka.
Mpira ni Dakika tisini
Hamsa zinajirudia tenaHii mechi siyo rahisi kama mnavyodhania, hii ni champions leage mzee hakuna mnyonge subiri uone mechi itakavyokuwa kesho.