Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
SahihiIngawa tutakosa amani kwa makelele, ila nawaombea mpate ushindi. Mkishinda Tanzania imeshinda, Yanga ikishinda Tanzania imeshinda.
Naaminj mtapigana haijwahi kutokea. Kwa nn? Kwa sababu mnajua kwa miaka minne sasa mnaishia robo fainali, ila mtani wenu kaja first attempt tu mguu mmoja uko ndani ya semi final. Kitu ambacho hamtokubali kukiskia maskioni mwenu.