Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Injinia halafu tena mwanasheria?Ni kweli kabisa hadi morison akatugalagaza kule CAS na wale mawakili wetu sita wakiongozwa na injinia hersi
Mvuta bange kasomea sheria wapi yule?Morison peke yake anatosha kuiwakilisha Simba mahakamani
Washaanza mazungumzo ligi ya malawiNasikia hata ligi wanaweza kwenda kucheza ile ya Zambia au hata Congo 😀 !! Yaani Yanga na Simba zina maujinga ila maujinga ya safari hii ni Pro Max Ujingaz!!
Mimi naweza anzisha uzi hapa wa tetesi kwa id yangu nyingine unaohusu Simba ili niwaone mnaumia kiasi gani kwa mambo ya Simba,cha ajabu mnajaa kama wote tena mnakuja na hasira kumbe mngepuuza tu akuna lolote[emoji23]Haya ndio unadhani matusi?
Kweli makolo ni mbumbumbu kabisa.
Unajua maana ya kolo ni mtu anayefuata jambo lolote hata kama la hovyo, ndio kama wewe na wenzenu sasa..
Sisi hatujai bali tunawapa ukweli na kuwaonesha namna uhalisia wenu ulipo.Mimi naweza anzisha uzi hapa wa tetesi kwa id yangu nyingine unaohusu Simba ili niwaone mnaumia kiasi gani kwa mambo ya Simba,cha ajabu mnajaa kama wote tena mnakuja na hasira kumbe mngepuuza tu akuna lolote[emoji23]
Dah!!,nawaonea huruma aisee,pole mtani mengine ni uzushi tu usikasirike[emoji23][emoji23]
Relax.Sisi hatujai bali tunawapa ukweli na kuwaonesha namna uhalisia wenu ulipo.
Zaidi tunawafungua akili. Kama ambavyo nyie mambo ya yanga yanawawasha sana hasa wewe vile vile [emoji3][emoji3]
Kawaulize Utopolo alichowafanyia CAS kule. Ndio utajua bangi ina akili kuliko gongoMvuta bange kasomea sheria wapi yule?
Mechi zilichezwa hapa sababu ya corona.Sheria gani? Temeona mamerodi na wengine wamecheza mechi za CAF hapa Dar... Na nchi nyingine kibao wamecheza mechi katk nchi za jirani...
Viongozi wa klabu ya Simba SC wanafikiria kuhamishia mechi zake za kombe la shirikisho barani Afrika (CAF CC) katika uwanja wa Aman uliopo Zanzibar (kwa mechi za nyumbani)
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio mbaya maana Zanzibar ni Sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Viongozi wa klabu ya Simba SC wanafikiria kuhamishia mechi zake za kombe la shirikisho barani Afrika (CAF CC) katika uwanja wa Aman uliopo Zanzibar (kwa mechi za nyumbani)
Sent using Jamii Forums mobile app
sio tu TFF hata wao mapato yatapungua
HIli picha liliishaje?Viongozi wa klabu ya Simba SC wanafikiria kuhamishia mechi zake za kombe la shirikisho barani Afrika (CAF CC) katika uwanja wa Aman uliopo Zanzibar (kwa mechi za nyumbani)
Sent using Jamii Forums mobile app