Simba SC kuhamishia mechi zake za CAF CC Zanzibar

Simba SC kuhamishia mechi zake za CAF CC Zanzibar

Nasikia hata ligi wanaweza kwenda kucheza ile ya Zambia au hata Congo 😀 !! Yaani Yanga na Simba zina maujinga ila maujinga ya safari hii ni Pro Max Ujingaz!!
Washaanza mazungumzo ligi ya malawi
 
Haya ndio unadhani matusi?
Kweli makolo ni mbumbumbu kabisa.

Unajua maana ya kolo ni mtu anayefuata jambo lolote hata kama la hovyo, ndio kama wewe na wenzenu sasa..
Mimi naweza anzisha uzi hapa wa tetesi kwa id yangu nyingine unaohusu Simba ili niwaone mnaumia kiasi gani kwa mambo ya Simba,cha ajabu mnajaa kama wote tena mnakuja na hasira kumbe mngepuuza tu akuna lolote[emoji23]
Dah!!,nawaonea huruma aisee,pole mtani mengine ni uzushi tu usikasirike[emoji23][emoji23]
 
Sisi hatujai bali tunawapa ukweli na kuwaonesha namna uhalisia wenu ulipo.
Zaidi tunawafungua akili. Kama ambavyo nyie mambo ya yanga yanawawasha sana hasa wewe vile vile 😀😀
 
Sisi hatujai bali tunawapa ukweli na kuwaonesha namna uhalisia wenu ulipo.
Zaidi tunawafungua akili. Kama ambavyo nyie mambo ya yanga yanawawasha sana hasa wewe vile vile [emoji3][emoji3]
Relax.
Basi poa ngoja tunasuka zingine mupya mupya mjae tena kwa hasira.
 
Simba ni ma mbumbumbu wa kutupwa, Simba ni mwanachama wa Tff, Zanzibar ni wanachama wa CAF pia, huwezi kucheza mechi za CAF zikasimamiwa na FA ya mwanachama mwingine. Tff pekee ndio inayo wajibika kwa Simba endapo litatokea lolote.
 
Sheria gani? Temeona mamerodi na wengine wamecheza mechi za CAF hapa Dar... Na nchi nyingine kibao wamecheza mechi katk nchi za jirani...
Mechi zilichezwa hapa sababu ya corona.
 
Viongozi wa klabu ya Simba SC wanafikiria kuhamishia mechi zake za kombe la shirikisho barani Afrika (CAF CC) katika uwanja wa Aman uliopo Zanzibar (kwa mechi za nyumbani)

Sent using Jamii Forums mobile app

Sio mbaya maana Zanzibar ni Sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom