Simba SC kuingia na basi jipya la wachezaji leo

Kwa mabus yaendayo mikoani sijaona kampuni ya TATA..ila Kagera Sugar wanalo pia
Lakini ujue kuwa hilo sio bus la biashara as in kuwa linapiga ruti kila siku. Hilo linatumika kwa special events tu na team ikienda mikoa ya mbali wanakwea mwewe.

Kwahiyo hata kama performance ya TATA ikiwa iko chini zaidi ya Scania, Yutong n.k lakini bado kwa matumizi yaliyokusudiwa ni bus linalofaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…