Simba SC kuingia na basi jipya la wachezaji leo

Simba SC kuingia na basi jipya la wachezaji leo

Lakini ujue kuwa hilo sio bus la biashara as in kuwa linapiga ruti kila siku. Hilo linatumika kwa special events tu na team ikienda mikoa ya mbali wanakwea mwewe.

Kwahiyo hata kama performance ya TATA ikiwa iko chini zaidi ya Scania, Yutong n.k lakini bado kwa matumizi yaliyokusudiwa ni bus linalofaa.
Wanajeshi wana basi za tata toka 2001 zinapiga kazi... hata jkt na mashujaa fc ni mashuhuda...
 
Wanajeshi wana basi za tata toka 2001 zinapiga kazi... hata jkt na mashujaa fc ni mashuhuda...
Ndio maana nimemuambia hata kama TATA performance yake ni ya chini lakini kwa matumizi yaliyokusudiwa bado linatufaa. Akae kwa password.
 
ndugu yangu mpira usitufikishe kwenye kuwazia mabaya. Hao unaowaza hilo gari litawachinja wana familia pia.
Maana yangu wabadilishe kwani kila wakienda mikoani linawaharibikia njiani,uwezo wa kupata basi jipya wanao,ni angalizo tu wala siyo dua mbaya.
 
Acha roho mbaya bana,tena utachekwa TATA na Yutong gari gani imara?

Ishukuruni sana sportpesa mana mngekuwa na eicher mpaka leo
Zile Yutong zilitolewa na Wadhamini wa Bia ya Kilimanjaro na siyo Sportpesa! Sportpesa waliweka tu chata zao baada ya Kilimanjaro kumaliza mkataba na hizo timu mbili kongwe nchini.

By the way, hao TATA wana siti za hovyo sana ukilinganisha na Yutong. Siti kama madawati ya primary!!
 
Unaacha Yotong, unanunua TATA, kisa product ya wahindi wenzio, Anyway kupanga Ni kuchagua.
Ninachojiuliza yaani simba haijafikia hatua ya kuagiza basi huko kiwandani wakapigiwa rangi wanayotaka hadi wasubiri kuja kubandika stika?
 
Ninachojiuliza yaani simba haijafikia hatua ya kuagiza basi huko kiwandani wakapigiwa rangi wanayotaka hadi wasubiri kuja kubandika stika?
Huyo Mwamedi ataipata wapi hiyo jeuri! Usikute hata hilo TATA lenyewe akawa amekopa tu kwa hao ndugu zake kuch kuch hotae!
 
Kwani hilo TATA mnalotulingishia hapa, si nalo ni hisani ya Mwamedi! Au mmenunua kwa hela zenu za pango ya lile jengo lenu pale Kariakoo? Mbona unataka uitwe mbumbumbu bila sababu za msingi?

Mnanunuliwa TATA halafu jamaa anajaza machata ya biashara zake! Ananufaika! Nyinyi mnaishi tu kutoka majasho ya makwapani uwanjani mkishangilia.

Bilioni 20 mpaka leo bado ni kitendawili. Hazina tofauti kabisa na zile milioni 50 za magufuli za kwenye kila kijiji!
Kunyanyua makwapa na kushangilia ndy furaha ya shabiki.
 
Ninachojiuliza yaani simba haijafikia hatua ya kuagiza basi huko kiwandani wakapigiwa rangi wanayotaka hadi wasubiri kuja kubandika stika?
Mashabiki wa Simba na Yanga tunatakiwa kujua hizi team zetu sio kubwa kiviiiile mpaka kufikia kufanya km hayo.
Ukitoa GSM na Mo ndy utaelewa.
 
Kwani hilo TATA mnalotulingishia hapa, si nalo ni hisani ya Mwamedi! Au mmenunua kwa hela zenu za pango ya lile jengo lenu pale Kariakoo? Mbona unataka uitwe mbumbumbu bila sababu za msingi?

Mnanunuliwa TATA halafu jamaa anajaza machata ya biashara zake! Ananufaika! Nyinyi mnaishi tu kutoka majasho ya makwapani uwanjani mkishangilia.

Bilioni 20 mpaka leo bado ni kitendawili. Hazina tofauti kabisa na zile milioni 50 za magufuli za kwenye kila kijiji!
Aibu yako, yatosha tu kusema hivyo.
 
Kama siku halitumiki sie wananchi hatuna ridhaa ya kulitumia?
 
Back
Top Bottom