Mkwekwe_mchanja
Senior Member
- Oct 16, 2020
- 153
- 170
GARI LENYEWE BAYAAA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajeshi wana basi za tata toka 2001 zinapiga kazi... hata jkt na mashujaa fc ni mashuhuda...Lakini ujue kuwa hilo sio bus la biashara as in kuwa linapiga ruti kila siku. Hilo linatumika kwa special events tu na team ikienda mikoa ya mbali wanakwea mwewe.
Kwahiyo hata kama performance ya TATA ikiwa iko chini zaidi ya Scania, Yutong n.k lakini bado kwa matumizi yaliyokusudiwa ni bus linalofaa.
Ndio maana nimemuambia hata kama TATA performance yake ni ya chini lakini kwa matumizi yaliyokusudiwa bado linatufaa. Akae kwa password.Wanajeshi wana basi za tata toka 2001 zinapiga kazi... hata jkt na mashujaa fc ni mashuhuda...
Huu ndiyo umbumbumbu wenyewe aliousema Rage........Ina maana Yanga bado wanatumia basi la Hisani?
Maana yangu wabadilishe kwani kila wakienda mikoani linawaharibikia njiani,uwezo wa kupata basi jipya wanao,ni angalizo tu wala siyo dua mbaya.ndugu yangu mpira usitufikishe kwenye kuwazia mabaya. Hao unaowaza hilo gari litawachinja wana familia pia.
Mikoa yote inaunganishwa na lami kasoro katavi huko.Hili basi ruti za mkoani linapiga? Mfano moro tu hapo? Limekaa kama la ruti za mjini hapa hapa dar...
Jaman kama hamjui magari muwe mnakaa kimya. Yaani tata unairinganisha na kuona afadhari yutong kweli??Unaacha Yotong, unanunua TATA, kisa product ya wahindi wenzio, Anyway kupanga Ni kuchagua
Zile Yutong zilitolewa na Wadhamini wa Bia ya Kilimanjaro na siyo Sportpesa! Sportpesa waliweka tu chata zao baada ya Kilimanjaro kumaliza mkataba na hizo timu mbili kongwe nchini.Acha roho mbaya bana,tena utachekwa TATA na Yutong gari gani imara?
Ishukuruni sana sportpesa mana mngekuwa na eicher mpaka leo
Ninachojiuliza yaani simba haijafikia hatua ya kuagiza basi huko kiwandani wakapigiwa rangi wanayotaka hadi wasubiri kuja kubandika stika?Unaacha Yotong, unanunua TATA, kisa product ya wahindi wenzio, Anyway kupanga Ni kuchagua.
Huyo Mwamedi ataipata wapi hiyo jeuri! Usikute hata hilo TATA lenyewe akawa amekopa tu kwa hao ndugu zake kuch kuch hotae!Ninachojiuliza yaani simba haijafikia hatua ya kuagiza basi huko kiwandani wakapigiwa rangi wanayotaka hadi wasubiri kuja kubandika stika?
Kunyanyua makwapa na kushangilia ndy furaha ya shabiki.Kwani hilo TATA mnalotulingishia hapa, si nalo ni hisani ya Mwamedi! Au mmenunua kwa hela zenu za pango ya lile jengo lenu pale Kariakoo? Mbona unataka uitwe mbumbumbu bila sababu za msingi?
Mnanunuliwa TATA halafu jamaa anajaza machata ya biashara zake! Ananufaika! Nyinyi mnaishi tu kutoka majasho ya makwapani uwanjani mkishangilia.
Bilioni 20 mpaka leo bado ni kitendawili. Hazina tofauti kabisa na zile milioni 50 za magufuli za kwenye kila kijiji!
Mashabiki wa Simba na Yanga tunatakiwa kujua hizi team zetu sio kubwa kiviiiile mpaka kufikia kufanya km hayo.Ninachojiuliza yaani simba haijafikia hatua ya kuagiza basi huko kiwandani wakapigiwa rangi wanayotaka hadi wasubiri kuja kubandika stika?
Aibu yako, yatosha tu kusema hivyo.Kwani hilo TATA mnalotulingishia hapa, si nalo ni hisani ya Mwamedi! Au mmenunua kwa hela zenu za pango ya lile jengo lenu pale Kariakoo? Mbona unataka uitwe mbumbumbu bila sababu za msingi?
Mnanunuliwa TATA halafu jamaa anajaza machata ya biashara zake! Ananufaika! Nyinyi mnaishi tu kutoka majasho ya makwapani uwanjani mkishangilia.
Bilioni 20 mpaka leo bado ni kitendawili. Hazina tofauti kabisa na zile milioni 50 za magufuli za kwenye kila kijiji!
Hahaha ww tata huiju angalia documentary za nepal huko kuna milima hiyo yutong utaitupa ila tata inatoboa hilo ni gari mkuuu usikalilishwe.Unaacha Yotong, unanunua TATA, kisa product ya wahindi wenzio, Anyway kupanga Ni kuchagua.
Tata marcopolo ilo linaenda dar mwanza fresh tuHili basi ruti za mkoani linapiga? Mfano Moro tu hapo? Limekaa kama la ruti za mjini hapa hapa Dar...
Kama porte inaenda mpaka bukoba iyo itashindwa vipi?Hili basi ruti za mkoani linapiga? Mfano Moro tu hapo? Limekaa kama la ruti za mjini hapa hapa Dar...