Simba SC kuivaa Stellenbosch baada ya kuitupa nje Zamalek SC, Nusu fainali Aprili 20

Kwa nini Simba aanzie home?
Inapangwa kufuatia timu ya kwanza kufuzu.

Simba ndio ilikuwa ya kwanza kufuzu kwasababu ilicheza mapema kabla ya Zamalek.

Kwa hiyo baada ya kufuzu ikawa ni Simba Vs atayepita kwenye hiyo mechi ya Zamalek.

Kwa hiyo hapo baada ya huyo Stella kupita ndio amekuja kukamilisha Simba vs Stella.

Na kwakua timu inayoanza kuandika kwenye scoreboard ndio huanzia nyumbani basi Simba ataanzia nyumbani.

Ni kama tu saizi kwenye UEFA Champions League jinsi ratiba ilivyopangwa ni kwamba zile timu zote zinazoanza siku moja kabla ya mchezo ndio zitazokuwa nyumbani iwapo ikatokea zimefuzu.
 
Utawala unataka kuhamia Afrika Kusini. Naona jamaa wameleka nusu fainali Mamelod na Shirikisho wameleka hao Stellen na Orlando Pirates!
Acha utani mkuu.....

Champions league yupo mamelodi na Orlando ......
.na kwenye league hapo Kuna wa 1 na wa 2.....

Shirikisho yupo huyo Stellenbosch
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…