Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,333
- 50,241
Teh teh teh 😃 😃 😃 kazi kweli kweli...Kweli soka la Afrika limebadilika.
Teh teh teh 😃 😃 😃 kazi kweli kweli...Kweli soka la Afrika limebadilika.
Kwa Caf hapana mkuu Simba anaanzia ugenini game hii si kwakua ni wa kwanza kufuzu kabla ya Stellenbosch bali droo ilishaonyesha mchoro wa mechi zote kuanzia hatua ya robo fainali mpaka fainaliInapangwa kufuatia timu ya kwanza kufuzu.
Simba ndio ilikuwa ya kwanza kufuzu kwasababu ilicheza mapema kabla ya Zamalek.
Kwa hiyo baada ya kufuzu ikawa ni Simba Vs atayepita kwenye hiyo mechi ya Zamalek.
Kwa hiyo hapo baada ya huyo Stella kupita ndio amekuja kukamilisha Simba vs Stella.
Na kwakua timu inayoanza kuandika kwenye scoreboard ndio huanzia nyumbani basi Simba ataanzia nyumbani.
Ni kama tu saizi kwenye UEFA Champions League jinsi ratiba ilivyopangwa ni kwamba zile timu zote zinazoanza siku moja kabla ya mchezo ndio zitazokuwa nyumbani iwapo ikatokea zimefuzu.
Utawala unataka kuhamia Afrika Kusini. Naona jamaa wameleka nusu fainali Mamelod na Shirikisho wameleka hao Stellen na Orlando Pirates!
Fainal ni Constantine na sio BerkaneFainali itakuwa SIMBA vs RS BERKANE
Fainali itakuwa SIMBA vs RS BERKANE
Fainali itakuwa SIMBA vs RS BERKANE
Fainali itakuwa SIMBA vs RS BERKANE
Fainali itakuwa SIMBA vs RS BERKANE
Fainali itakuwa SIMBA vs RS BERKANE
Fainali itakuwa SIMBA vs RS BERKANE
Hiyo ni analysis yako, mimi nabaki na ya kwangu na wewe baki na yako hadi mwishoFainal ni Constantine na sio Berkane
Waheshimu Orlando wale wako cafclUtawala unataka kuhamia Afrika Kusini. Naona jamaa wameleka nusu fainali Mamelod na Shirikisho wameleka hao Stellen na Orlando Pirates!
Kwenye kombe la kinamama? Timu dhaifu tupu ndio zinacheza hukosasa wale jamaa.waliosema tumecheza fainali shirikisho watajifichia wap🤣🤣🤣
Hata yule Mazingiza ndio alikuwa kwaya masta na mwimbaji wa Stellenbosch alikuwa Makudibela.Stellenbosch niliwajua kupitia kwaya zao YouTube na namna wanaiga nyimbo mbalimbali sikujua kama siku Moja nitawashabikia
5Kwa kutinga 1/2 fainali, simba anakuwa wa ngapi kwenye caf club ranking?
Kama nani!Kwenye kombe la kinamama? Timu dhaifu tupu ndio zinacheza huko
Hahahaaa! Kama nakuona vile ulivyo na siku ngumu mno kwenye soka kwa siku ya leo. Join themKweli soka la Afrika limebadilika.