Simba SC kuivaa Stellenbosch baada ya kuitupa nje Zamalek SC, Nusu fainali Aprili 20

Kwa Caf hapana mkuu Simba anaanzia ugenini game hii si kwakua ni wa kwanza kufuzu kabla ya Stellenbosch bali droo ilishaonyesha mchoro wa mechi zote kuanzia hatua ya robo fainali mpaka fainali
Hivyo hakuna ranks wala muda wakufuzu ni path ambayo ilishapangwa wakati wa droo ya robo fainali.

Kwa mfano Simba akifuzu semi final droo inaonyesha Simba ataanzia ugenini na kumalizia nyumbani na ipo hivyo hata kama atapita StellenBosch fainali naye ataanzia ugenini na kumaliza nyumbani.
 
Fainali itakuwa SIMBA vs RS BERKANE
Fainali itakuwa SIMBA vs RS BERKANE
Fainali itakuwa SIMBA vs RS BERKANE
Fainali itakuwa SIMBA vs RS BERKANE
Fainali itakuwa SIMBA vs RS BERKANE
Fainali itakuwa SIMBA vs RS BERKANE
Fainali itakuwa SIMBA vs RS BERKANE
 
Orando yupo Klab bingwa sio shirikisho
Utawala unataka kuhamia Afrika Kusini. Naona jamaa wameleka nusu fainali Mamelod na Shirikisho wameleka hao Stellen na Orlando Pirates!
 
Fainal ni Constantine na sio Berkane
 
Simba mbele >>>>>>>.
Kila la Kheri mpaka Fainali hatimaye TajiπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ
 
Path ya kwenye ratiba inaonyesha hivi....

Assec/Berkane vs Constantine/USM Alger

Stellenbosch/Zamalek vs Al Masry/SIMBA

So itakuwa hivi...

Berkane Vs Constantine
Stellenbosch Vs Simba... So kutokana na ratiba Simba anatakiwa kuanzia away.
 
Kwa kutinga 1/2 fainali, simba anakuwa wa ngapi kwenye caf club ranking?
 
Stellenbosch niliwajua kupitia kwaya zao YouTube na namna wanaiga nyimbo mbalimbali sikujua kama siku Moja nitawashabikia
Hata yule Mazingiza ndio alikuwa kwaya masta na mwimbaji wa Stellenbosch alikuwa Makudibela.

Uto kama utoπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…