Simba SC kuivaa Stellenbosch baada ya kuitupa nje Zamalek SC, Nusu fainali Aprili 20

Tunakumbushana tu maana kufika nusu wamesha anza na kutoa machozi
 
Hata yule Mazingiza ndio alikuwa kwaya masta na mwimbaji wa Stellenbosch alikuwa Makudibela.

Uto kama utoπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
Jersey ya Stellenbosch yatajwa kuwa jersey Bora zaidi afrika
Sasa kuanza kuuzwa madukani dar na mwanza
 
Ujinga na akili mbovu ukimix by yas na ufukara wa aina yako ni mtaji mkubwa wa ccm.
Dada felakuti mimba yako changa inakuchanganya sana? Unamaneno machafu kama umeibiwa bwana wako? Unabwabwaja kama umekalia kuti kavu lenye miiba. neno fukara kwa wiki hii pekee umelitaja mara nyingi zaidi ya fedha ulizonazo kwenye account. Mtu anae tukana wengine ana level fulani ya ufukara unaomtafuna kichwani Kama 95% Hamasa + 5%Ufundi wa Uwanjani = Kuvuka Nusu Fainali ya CAFCC Keshokutwa sawa na niwatakieni Kila la Kheri
 
Kutoka kwa mchambuzi
Your browser is not able to display this video.
 
Mchambuzi kaishia kujikanyaga tu ila hajatoa sababu yoyote ya maana
Hapo hakuna cha caf coefficient wala ranks ni droo na ilishamaliza kila kitu.

Ndio maana mshindi kati ya Simba na Stellenbosch mechi ya fainali ataanzia ugenini moja kwa moja bila kujalisha atacheza na nani

Hata klabu bingwa ipo hivyo mechi ya Mamelod vs Ahly mshindi ataanzia nyumbani na kumalizia ugenini kwenye mechi ya Final hiyo haijalishi awe ni Sundowns au Ahly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…