Kwaio nidhaifu kuliko Yanga inayoongoza ligi hapa bongo 🙂 🙂 🙂 🙂Hiyo timu ya wenyeji inashika mkia..Bora hao CSK wako nafasi ya tano
Duhh!!hii ratiba sio rafiki.. acha tuone mkono wa kiongozi🤣🤣🤣🤣
Na kweli yanga atatuelekeza tumpige 5-0 nyingineCSK Moscow watatupa mbinu za kuwakabiri Yanga SC na kuwashinda maana tuna mechi 6 dhidi yao hatujawafunga.
Hongera kwa viongozi wetu.
HahahaNi kweli mimi nipo hapa Abu Dhabi, mimi na wenzangu ambao ni madereva bajaj tuna timu yetu ya mtaani tumeipa jina CSKA MOSCOW, tutacheza mechi ya kirafiki na timu moja kutoka Africa huko nadhani ndio hao simbwa, huku wanaitwa mbumbumbu f.c. Karibuni nyote mje muone mechi nzuri kati yao na sisi madereva bajaj wa hapa UAE.
Tembelea website ya CSKA Moskow. Wameweka hii mechi tarehe 15 january.Hahaha
Kile kikosi kilichocheza na Mlandege ndio ikacheze na Mbeya city? Embu fanyeni hiyo jeuri tuione.Tutatanguliza kikosi kilichoenda Zanzibar kwenye Mapinduzi Cup kicheze na Mbeya City.
Watu mnashindwa kuconnect dots. Simba hawakuwa na kikosi kibovu Zanzibar, ila Simba na Yanga wote waliona (kwa uamuzi wao au kwa maelekezo) ni wakati wa kuiachia timu ya Zanzibar ibebe kombe la Mapinduzi kumuenzi mama yenu.
Kwa moto wa sasa wa Simba, Mlandege angekula goli 5 kwa kikosi kilekile walichocheza nacho.
Kuna uwezekano mkubwa hata ratiba ya NBC hawaijui kama imefanyiwa mabadiliko kama vile walivyokuwa hawafahamu Mapinduzi cup wanacheza michezo miwili tu. Leo tarehe 10 wanasiku saba za kujiandaa na mechi ya ligi kuu jumlisha safari jumlisha kupumzika kutokana na uchovu wa safari. Hakuna cha maana kilichofuatwa, sasa wanafosi kuonekana kuna cha maana kilicholengwa nayo ni friend match. Ngoja tuone bodi ya ligi itahairisha mechi kwasababu kuwasikiliza wazuraji au watasimamia msimamo wao wa ratiba.
Slava [emoji1255]
CSK Moscow watatupa mbinu za kuwakabiri Yanga SC na kuwashinda maana tuna mechi 6 dhidi yao hatujawafunga.
Hongera kwa viongozi wetu.
FIFA imezifungia klabu zote na timu ya taifa ya Urusi kushiriki michezo yoyote ya kimataifa ya mashindano au ya kirafiki kwa hiyo labda wanacheza na timu ya Kinondoni Moscow.Ikibainika Simba imecheza na timu kutoka Urusi TFF na Simba zitachukuliwa hatua kali sana na FIFA iKIwemo kufungiwa au faini.