Simba SC kukipiga na CSKA Moscow

Simba SC kukipiga na CSKA Moscow

Mbabani

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
1,676
Reaction score
4,693
Mechi za kirafiki.

Ikumbukwe tarehe 17 wanacheza na Mbeya City.
IMG_20230110_140758.jpg
 
Tutatanguliza kikosi kilichoenda Zanzibar kwenye Mapinduzi Cup kicheze na Mbeya City.

Watu mnashindwa kuconnect dots. Simba hawakuwa na kikosi kibovu Zanzibar, ila Simba na Yanga wote waliona (kwa uamuzi wao au kwa maelekezo) ni wakati wa kuiachia timu ya Zanzibar ibebe kombe la Mapinduzi kumuenzi mama yenu.

Kwa moto wa sasa wa Simba, Mlandege angekula goli 5 kwa kikosi kilekile walichocheza nacho.
 
Ni kweli mimi nipo hapa Abu Dhabi, mimi na wenzangu ambao ni madereva bajaj tuna timu yetu ya mtaani tumeipa jina CSKA MOSCOW, tutacheza mechi ya kirafiki na timu moja kutoka Africa huko nadhani ndio hao simbwa, huku wanaitwa mbumbumbu f.c. Karibuni nyote mje muone mechi nzuri kati yao na sisi madereva bajaj wa hapa UAE.
 
FIFA imezifungia klabu zote na timu ya taifa ya Urusi kushiriki michezo yoyote ya kimataifa ya mashindano au ya kirafiki kwa hiyo labda wanacheza na timu ya Kinondoni Moscow.Ikibainika Simba imecheza na timu kutoka Urusi TFF na Simba zitachukuliwa hatua kali sana na FIFA iKIwemo kufungiwa au faini.
 
CSK Moscow watatupa mbinu za kuwakabiri Yanga SC na kuwashinda maana tuna mechi 6 dhidi yao hatujawafunga.

Hongera kwa viongozi wetu.
Na kweli yanga atatuelekeza tumpige 5-0 nyingine
 
SIMBA VS CSKA MOSCOW YA URUSI MABINGWA WA UROPA HAWA

YANGA VS UNYANYEMBE YA VINGUNGUTI MABINGWA WA CHANDIMU HAWA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]

NIPO UBARUKU
 
Ni kweli mimi nipo hapa Abu Dhabi, mimi na wenzangu ambao ni madereva bajaj tuna timu yetu ya mtaani tumeipa jina CSKA MOSCOW, tutacheza mechi ya kirafiki na timu moja kutoka Africa huko nadhani ndio hao simbwa, huku wanaitwa mbumbumbu f.c. Karibuni nyote mje muone mechi nzuri kati yao na sisi madereva bajaj wa hapa UAE.
Hahaha
 
Hao CSKA Moscow muwaambie kabisa kuwa Sadio Kanute ana undugu na Rais wa Russia, ndio maana huwa tunamuita 'Putini'

Hivyo wakimkosea adabu na akipata yellow card wajue watapata tabu sana
 
Tutatanguliza kikosi kilichoenda Zanzibar kwenye Mapinduzi Cup kicheze na Mbeya City.

Watu mnashindwa kuconnect dots. Simba hawakuwa na kikosi kibovu Zanzibar, ila Simba na Yanga wote waliona (kwa uamuzi wao au kwa maelekezo) ni wakati wa kuiachia timu ya Zanzibar ibebe kombe la Mapinduzi kumuenzi mama yenu.

Kwa moto wa sasa wa Simba, Mlandege angekula goli 5 kwa kikosi kilekile walichocheza nacho.
Kile kikosi kilichocheza na Mlandege ndio ikacheze na Mbeya city? Embu fanyeni hiyo jeuri tuione.
 
Mechi za kirafiki.

Ikumbukwe tarehe 17 wanacheza na Mbeya City.View attachment 2476219
Kuna uwezekano mkubwa hata ratiba ya NBC hawaijui kama imefanyiwa mabadiliko kama vile walivyokuwa hawafahamu Mapinduzi cup wanacheza michezo miwili tu. Leo tarehe 10 wanasiku saba za kujiandaa na mechi ya ligi kuu jumlisha safari jumlisha kupumzika kutokana na uchovu wa safari. Hakuna cha maana kilichofuatwa, sasa wanafosi kuonekana kuna cha maana kilicholengwa nayo ni friend match. Ngoja tuone bodi ya ligi itahairisha mechi kwasababu kuwasikiliza wazuraji au watasimamia msimamo wao wa ratiba.
 
CSK Moscow watatupa mbinu za kuwakabiri Yanga SC na kuwashinda maana tuna mechi 6 dhidi yao hatujawafunga.

Hongera kwa viongozi wetu.

Kwa mawazo yako simba itacheza na utopolo pekee?uto bhn[emoji23]
 
FIFA imezifungia klabu zote na timu ya taifa ya Urusi kushiriki michezo yoyote ya kimataifa ya mashindano au ya kirafiki kwa hiyo labda wanacheza na timu ya Kinondoni Moscow.Ikibainika Simba imecheza na timu kutoka Urusi TFF na Simba zitachukuliwa hatua kali sana na FIFA iKIwemo kufungiwa au faini.

Ko we ndo una akili kuliko cska moscow?
 
Back
Top Bottom