Simba Sc kukomba zaidi ya Bilioni 2.3 CAF

Simba Sc kukomba zaidi ya Bilioni 2.3 CAF

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
CAF wameongeza zawadi katika mashindano CAF Champions League

▪︎ Mshindi atapewa $3.5 Million (Kabla zawadi ilikuwa $2.5 Million)

▪︎ Mshindi wa pili: $1.750 Million
▪︎ Timu zitakazofika nusu fainali: $1 Million
▪︎ Timu zitakazofika robo: $800,000
Ikumbukwe kwamba Simba Sc wana malengo ya kufika nusu. Kwa hivyo ikiwa Simba itafika nusu fainali itapata zaidi ya bilioni 2.3
 
Mie nikafikili Simba sports club tayari kwenye account zimekwisha ingizwa kumbe hadi pale mtakapofika nusu fainali

Mkuu huo unaitwa mchezo wa potepotea
 
Kumbe malengo hahaha uhandishi wengine huu yaani
 
CAF wameongeza zawadi katika mashindano CAF Champions League

[emoji830]︎ Mshindi atapewa $3.5 Million (Kabla zawadi ilikuwa $2.5 Million)

[emoji830]︎ Mshindi wa pili: $1.750 Million
[emoji830]︎ Timu zitakazofika nusu fainali: $1 Million
[emoji830]︎ Timu zitakazofika robo: $800,000
Ikumbukwe kwamba Simba Sc wana malengo ya kufika nusu. Kwa hivyo ikiwa Simba itafika nusu fainali itapata zaidi ya bilioni 2.3
Kumbe ndio maana vilabu vya kazkazini inadharau zawadi hyo kuwa ndogo unawapaje bingwa bilion 3.5 wkt clabu inachukuwa mchezaji mmoja tu kwa bilion Moja mfno alhaly au mamelody

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom