OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kumbe ndio maana vilabu vya kazkazini inadharau zawadi hyo kuwa ndogo unawapaje bingwa bilion 3.5 wkt clabu inachukuwa mchezaji mmoja tu kwa bilion Moja mfno alhaly au mamelodyCAF wameongeza zawadi katika mashindano CAF Champions League
[emoji830]︎ Mshindi atapewa $3.5 Million (Kabla zawadi ilikuwa $2.5 Million)
[emoji830]︎ Mshindi wa pili: $1.750 Million
[emoji830]︎ Timu zitakazofika nusu fainali: $1 Million
[emoji830]︎ Timu zitakazofika robo: $800,000
Ikumbukwe kwamba Simba Sc wana malengo ya kufika nusu. Kwa hivyo ikiwa Simba itafika nusu fainali itapata zaidi ya bilioni 2.3
Kitakachowapata Simba watakuja kurushiwa vinyesi vyao na utakuwa mwisho wa mo dewji safari hiiSimba hii ya dejan na mgunda? Sawa muda ni mwalimu mzuri sana.