Simba SC kuna mchezaji wa kumuweka benchi Mzize? Nani ana hata robo ya profile ya Mzize?

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
1. Tuwe wa kweli, Simba pale nani ana profile kama Mzize? Sio simba tu hata azam fc nani? Hamna

2. ligi nzima nani? Amna.

Mzize ni bonge moja la mchezaji, ni yanga tu ina alot of stars. Na bado mzize anapata number. Hivi mnajua kupata number yanga ni kazi kweli kweli. Also

3. Simba nani ananza first 11 ya Yanga? Hamna.

4. Ligi nzima nani anaweza join first 11 ya Yanga? Hamna.

So far hii ligi amna mchezaji hata mmoja anaanza first 11 ya yanga. hata simba. hussein, malone na Debora wanaweza kukaa bench la Yanga . tena mechi za matopeni sio muhimu. wakicheza sana mechi 3 per season.

Tuweni serious. Gab ni kubwa sana. it's alarming.
 
Too much Ushabiki ni hasara.
 
Hakuna. Hakuna. Hakunaaaa. Wote wanaanzia benchi.
 
Atawekwa bench na kibu mkandaji
goli moja msimu mzima 💀.
assist 0, big chance created 0

let's be serious.
kuna good reason kibu angekuja yanga angefia benchi.
 
Hilo goli moja aliwakanda kina nani
mzize ame assist goli ngapi?? na amefunga goli ngapi??

5 - 1 . mzize aliwafungua sana. Acha kukaza,

kibu sio quality ya kumuweka benchi mzize.

your simply a joker sio mwanamichezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…