Kwa hiyo senegal wakifika robo fainal world cup mara 4 hayo sio mafanikio kwao na itakuwa sawa tu na Tanzania ambayo haijashiriki? Timu yenu imeingia makundi CAF champions baada ya zaidi ya miaka 20, kwako wewe unaona sawa tu na timu iliyokuwa inaishia quarter final? Au unafikiri timu yenu imeanzishwa mwaka juzi.quarter finals 4x sio mafanikio. this is a wack record. probably yanga will go all the way to the final if they don't meet Al ahly.
will simba qualify for cafcc, we will be waiting