Simba SC Kupimana ubavu na CSKA Moscow Katika mechi ya kirafiki

Simba SC Kupimana ubavu na CSKA Moscow Katika mechi ya kirafiki

Last Seen

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
229
Reaction score
566
Klabu ya Simba Sports Clubs inatarajia kushuka dimbani kuikabili Timu ya CSKA Moscow ya Urusi.

Mechi hiyo ya Kimataifa ya kirafiki itapiga majira ya saa Tisa mchana kwa saa za Afrika Mashariki katika mji wa Abu Dhabi.
 
Ni dhahiri Kuna Dozen goals bila majibu Toka kikosi namba tatu!

Hawa jamaa Makolo fc kwa kujitutumua na kupenda sifa si mchezo! Yaani Kagera Sugar tu hawaiwezi eti wanaomba kuzipiga na wababe toka Russia!
 
Hii timu inapenda kujitutumua! Halafu ukija kwenye ligi ya ndani, hakuna kitu.
 
Hii timu inapenda kujitutumua! Halafu ukija kwenye ligi ya ndani, hakuna kitu.
Yaani utolewe na Al hilal timu ya kawaida kabisa halafu ujione bora Kwa kuwafunga akina Mtibwa. Hakika uto ni uto.
 
Screenshot_20230115-151748.png


Mambo ndio ipo hvyo mapema ndio best Ila mwisho n Kama Jana pale Old Trafford
 
Back
Top Bottom