Simba SC Kushushwa daraja isipolipa deni la Donald Mosoti

Muda si mrefu Manara atakuja na takwimu za jinsi Yanga ilivyokuwa inadaiwa huko siku za nyuma. ( maana yeye mambo yanayohusu Simba lazima haijumuishe na Yanga.)
 
Jamani Simba hadi wanatia huruma,sasa wakishuka daraja hata ndondo cup si wataikosa?
[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Maana sioni namna wanayoweza kulipa hizo pesa.
Labda wapitishe bakuli. [emoji6]
Acha hizo wewe. Pesa hiyo ni kidogo sana kwetu.
 
Nimeamini kweli "misfortune never come single"maana watani likitoka hili linakuja lile.
 
Ungekua ni uamuzi wa tff ungeona humu wanavyolialia mara Yanga mara ooh kumbe shida zao wenyewe
 
Hakuna wa kushuka daraja, Malinzi alikuwa anatafuta kick baada ya kuwa na image mbaya mitandaoni.
 
TFF ikizuiwa kushiriki kimataifa maana yake ni nini?

Timu ya yanga inayoendelea na michuano ya kimataifa itarejeshwa nyumbani?

Au taifa stars na twiga stars zitazuiwa kucheza?

Au TFF itazuiwa kushiriki mikutano ya kimataifa?
 
Mkuu GENTAMYCINE ameacha kuishabikia Simba, Mkuu sembo haonekani humu jukwaani. Nadhani kwa taarifa hii kuna member mwingine kesho nae atatangaza kuhama timu.

Manji atalipa Hilo deni ili Wakimataifa wasikose kushiriki CAF, period!
 
Tuko busy tunapambana na wanaoficha sukari, mambo ya Simba tumepumzika kidogo.
 
Muro amesema atawalipia wasishushwe daraja maana wanakuwa na pointi zetu 6 kila mwaka, ndani nje.
 
Tukiingia makundi ya kombe la shirikisho kuna bakshish tutapata,tutawasaidia kuwalipia hiyo pesa mikia ili kuwastili watani zetu
 
Ili tuwalipie wakubali twende nao Angola wakaongeze nguvu ya ushangiliaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…