Simba SC kutangaza usajili wa Kichuya leo

Simba SC kutangaza usajili wa Kichuya leo

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Nimemkumbuka hayati Magufuli na usemi wake tunajenga kwa fedha zetu za ndani.

Na wao Simba SC wanasajili wachezaji wa ndani kwa fedha za ndani bila tajiri aliyesusa.

Leo adhuhuri kwa saa za Afrika Mashariki, Ramadhani Shiza Kichuya atakuwa anatambulishwa kama mchezaji mpya ndani ya kikosi hiko.

Ama kweli kwa usajili huu, Simba watafanya makubwa sana msimu ujao hususani katika kombe la Mapinduzi.

Beauty Beauty!!
 
Nimemkumbuka hayati Magufuli na usemi wake tunajenga kwa fedha zetu za ndani.

Na wao Simba SC wanasajili wachezaji wa ndani kwa fedha za ndani bila tajiri aliyesusa...
Ha ha haaaaaaa hahahaha haaaaaaa hahahaha hahaaaaaaaaaaaa.
 
Si shabiki wa Simba wala Yanga, lakini nawashangaa mnavyoponda usajili wa wachezaji mbali mbali. Hivi kwa kiwango cha Kichuya anaweza kuwekwa bechi na Chiko Ushindi? Huu kwangu bado ni usajili sahihi kabisa kwa wachezaji wa ndani kuliko kwenda nje kuchukua wachezaji wa gharama kubwa huku wakizalisha faida ndogo.
 
Nyani wa pori la Utopolo hawaelewi hili somo wanaletewa mbeba maboksi eti katoka Newcastle wanakenua tu na kushangilia .
 
Si shabiki wa Simba wala Yanga, lakini nawashangaa mnavyoponda usajili wa wachezaji mbali mbali. Hivi kwa kiwango cha Kichuya anaweza kuwekwa bechi na Chiko Ushindi? Huu kwangu bado ni usajili sahihi kabisa kwa wachezaji wa ndani kuliko kwenda nje kuchukua wachezaji wa gharama kubwa huku wakizalisha faida ndogo.
Kwani huyo chiko huko aliko si yupo benchi tayari
 
Kichuya amepevuka sana, ule moto wake aliouonesha kule Namungo sio wa kitoto.

Utopolo hawatamsahau "mzee wa corner goal"
 
Kichuya amepevuka sana, ule moto wake aliouonesha kule Namungo sio wa kitoto.

Utopolo hawatamsahau "mzee wa corner goal"
Nadhani tatizo lipo hapo kwenye "kupevuka sana", nikikaza sikio nasikia kama unamaanisha "keshazeeka".

Succession plan, kama hizi timu zitategemea kununua waliokwiva tayari ilhali uchumi wao ni wa kutegemea mtu mmoja, mara Mudi, Mara Msoga kupitia JIESIEMU, itawagharimu kama inavyowagharimu Simba sasa.

TFF na vilabu, soka linalipa, wekezeni kwa vijana, miaka 16 mpaka 23 kwa huku kwetu, anzisha ligi ya huo umri, walamba asali wafadhili hii ligi, timu ziwe rasmi na endelevu, tukiwa na timu 16 za wa umri huu zinazocheza ligi kila mwaka mara miaka 4, tunatoboa. Ndio njia pekee kwa sisi wadanganyika kupiga hatua kubwa kubwa kwenye soka, hizo nyingine, walamba asali watazigeuza "la bibi".
 
Wanaanza kimataifa kwa kumleta kwenu Haruna Niyonzima kuimarisha safu ya kiungo...
 
Simba wasiri sana watu walijua leo Kichuya kumbe wanatamburisha kocha!
 
Back
Top Bottom