Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Nimemkumbuka hayati Magufuli na usemi wake tunajenga kwa fedha zetu za ndani.
Na wao Simba SC wanasajili wachezaji wa ndani kwa fedha za ndani bila tajiri aliyesusa.
Leo adhuhuri kwa saa za Afrika Mashariki, Ramadhani Shiza Kichuya atakuwa anatambulishwa kama mchezaji mpya ndani ya kikosi hiko.
Ama kweli kwa usajili huu, Simba watafanya makubwa sana msimu ujao hususani katika kombe la Mapinduzi.
Beauty Beauty!!