Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Ha ha haaaaaaa hahahaha haaaaaaa hahahaha hahaaaaaaaaaaaa.Nimemkumbuka hayati Magufuli na usemi wake tunajenga kwa fedha zetu za ndani.
Na wao Simba SC wanasajili wachezaji wa ndani kwa fedha za ndani bila tajiri aliyesusa...
Nyani wa pori la Utopolo hawaelewi hili somo wanaletewa mbeba maboksi eti katoka Newcastle wanakenua tu na kushangilia .Si shabiki wa Simba wala Yanga, lakini nawashangaa mnavyoponda usajili wa wachezaji mbali mbali. Hivi kwa kiwango cha Kichuya anaweza kuwekwa bechi na Chiko Ushindi? Huu kwangu bado ni usajili sahihi kabisa kwa wachezaji wa ndani kuliko kwenda nje kuchukua wachezaji wa gharama kubwa huku wakizalisha faida ndogo.
Kwani huyo chiko huko aliko si yupo benchi tayariSi shabiki wa Simba wala Yanga, lakini nawashangaa mnavyoponda usajili wa wachezaji mbali mbali. Hivi kwa kiwango cha Kichuya anaweza kuwekwa bechi na Chiko Ushindi? Huu kwangu bado ni usajili sahihi kabisa kwa wachezaji wa ndani kuliko kwenda nje kuchukua wachezaji wa gharama kubwa huku wakizalisha faida ndogo.
Nadhani tatizo lipo hapo kwenye "kupevuka sana", nikikaza sikio nasikia kama unamaanisha "keshazeeka".Kichuya amepevuka sana, ule moto wake aliouonesha kule Namungo sio wa kitoto.
Utopolo hawatamsahau "mzee wa corner goal"
Wanabaki kuja na hadithi baba yake utopoloKichuya amepevuka sana, ule moto wake aliouonesha kule Namungo sio wa kitoto.
Utopolo hawatamsahau "mzee wa corner goal"