DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
- Thread starter
-
- #21
Huu ujadala wa uwanja wenu niliufunga kwa uzi huu.Suala la muda tu
Uwanja utauona
Huyu akiniona jukwaani huwa anakimbia ananiogopa mnoHahaha 😁🤣, eti ndo maana huna kazi.
Uwanja wa mazoezi upo Avic townHuu ujadala wa uwanja wenu niliufunga kwa uzi huu.
Story za ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni danganya toto
Kama mko serious, waambieni viongozi wenu waanze kwanza na uwanja wa mazoezi. Dalili za mtu kushindwa jambo ni kutaka kuruka hatua na kukimbilia mambo makubwa wakati madogo yanamshinda. Msitake sana kushindana na Simba. Pigeni hatua kwa speed mliyojaaliwa.
Nashukuru kama umekubaliana na mimi kuhusu ahadi hewa. Juzi Hersi amerudia hii ahadi tena, anasema Serikali itawasaidia. Sasa serikali kweli iende kujenga uwanja wa klabu moja?Uwanja wa mazoezi upo Avic town
Naungana na wewe uwanja pale Jangwani haiwezekani wala tusiwe wanafiki geography ya pale ni mbaya mno
Tanzania ni kubwa ardhi ipo kubwa tu Yanga wapate ardhi wajenge uwanja kwenye sehemu rafiki
Huyu akiniona jukwaani huwa anakimbia ananiogopa mno
Alikuja analia anaomba kibarua hata kazi za ndani
Na Mimi Huwa natumia huo mwanya kuhakikisha anakosa amani
Hata Bunju sio Kwa SimbaNashukuru kama umekubaliana na mimi kuhusu ahadi hewa. Juzi Hersi amerudia hii ahadi tena, anasema Serikali itawasaidia. Sasa serikali kweli iende kujenga uwanja wa klabu moja?
Mara ya mwisho Yanga kufanya mazoezi kule Kimbiji ni lini? Na pia ule siyo uwanja unaomilikiwa na Yanga.
Unafanya kazi ya ulinzi au usafi?Sipendi kuweka Mafanikio yangu Hadharani Ila Uje hapa Golden Jubilee tower Mtaa wa Ohio Op
Simba imepewa heshima hiyo kama ilivyopewa heshima ya kufanya ufunguzi wa AFL.Yaani watu wanazungumzia kutwaa Makombe lakini Kuna shabiki wa Mbumbumbu fc ana diriki kuandika maswala ya kuzindua uwanja kuvaa jezi, kuvaa viatu, kufungua account ya, Whatsapp, kushika nafasi ya nne sijui kibegi
Yani ni mambo ya aibu kabisa badala ya kujivunia Makombe waliyo twaa anajivunia u mbumbumbu.
Mkuu nianze kuweka Professional yangu hapa hadharani?????.Unafanya kazi ya ulinzi au usafi?
Hongera sanaMkuu nianze kuweka Professional yangu hapa hadharani?????.
Itoshe kusema njoo Golden Jubilee Tower tutaonana kama kweli una uhitaji.
Wahaya wana msemo wao wanasema "usimdharau mtu anayekuwa".
Ona sasa u mbumbumbu mlionao yaani unapewa heshma ya uzinduzi uku walikua walikupiga faini ya ulozi kule South, Siku chache zilizopita limepelekwa shtaka CAF la kumwaga chumvi uwanjani kabla ya mechi ya CAF, wachezaji wanapakwa mafuta kabla ya mchezo amuoni izo ni aibu.Simba imepewa heshima hiyo kama ilivyopewa heshima ya kufanya ufunguzi wa AFL.
Hauwezi kupewa heshima hizo kama una katimu kadogodogo. Siyo kama timu ile ikafoji uzinduzi wa CAFCL na mashabiki wake isipokuwa Kikwete na Mzee Manara wakajazana kuangalia uzinduzi huo!
Ona sasa u mbumbumbu mlionao yaani unapewa heshma ya uzinduzi uku walikua walikupiga faini ya ulozi kule South, Siku chache zilizopita limepelekwa shtaka CAF la kumwaga chumvi uwanjani kabla ya mechi ya CAF, wachezaji wanapakwa mafuta kabla ya mchezo amuoni izo ni aibu.
wachezaji wanapakwa mafuta kabla ya mchezo amuoni izo ni aibu.
Labda ni ukosefu tu wa maarifa kushindwa kujua maana ya mtu kupakwa mafuta kiimani.
Badala ya kuwalaumu wanaoipa hiyo heshima Simba, umekaa na makasiriko yako hadi unajitungia story za kujiliwaza. Poor you!Ona sasa u mbumbumbu mlionao yaani unapewa heshma ya uzinduzi uku walikua walikupiga faini ya ulozi kule South, Siku chache zilizopita limepelekwa shtaka CAF la kumwaga chumvi uwanjani kabla ya mechi ya CAF, wachezaji wanapakwa mafuta kabla ya mchezo amuoni izo ni aibu.
Haya endelea kupakwa mafutaLabda ni ukosefu tu wa maarifa kushindwa kujua maana ya mtu kupakwa mafuta kiimani.
Mimi nikajua wamejenga viwanja vyao vya mpira kumbe ni kwenda tu kucheza mpira kwenye viwanja vya watu vilivyokarabatiwa.
Ninacho ona Simba wameitwa tu wacheze pale ili kama kuna mapungufu yaonekane na kurekebishwa kabla ya wazoefu na WABABE WA SOKA TANZANIA (Young African) hawajafika kutandaza soka
Hili nalo ni sifa eti
Nyie subirini kesho wazee wa hizi kazi tuwazindulie uwanja ili mje kucheza Muungano, mashindano mliyoyadhihaki mwaka jana tu.Wanasimba ni Mbumbumbu
Eden Rage