Simba SC kwa aibu kubwa ninayoiona inakuja na kwa upuuzi wa Ndola jana, tuwape Yanga SC nafasi yetu AFL ili wakaliheshimishe Taifa

Kipa Ayubu hana tatizo tena kwa Kumuona jana tu nimegundua ana Uimara mkubwa kuliko Mnafiki Mtoto aliyeko ambaye jana baada ya Goli la Pili alikuwa akimcheka Benchini na Mchawi Mwingine aliyeko Likizo ya Kitiba sasa.
Genta...
Huu ndiyo uzi wa kumtia drip mgonjwa ili apate ahueni, tunataka kuona timu zetu zinafanya vizuri kimataifa, si kuwa tu na ushabiki wa Yanga na Simba, uzalendo uwekwe mbele. Timu zetu zinakuwa na hii siyo Simba tunayoijua, Simba inauwezo wa kufanya vizuri zaidi lakini wajitathmini kutokana na mchezo wa Ndola kabla mambo hayajakuwa ya hovyo.
 
Asante kwa Credits zako Kwangu Mkuu ila ID yangu ni GENTAMYCINE na siyo hiyo ya GENTAMYCIME ambayo ni Parody tu la Mwendawazimu fulani aliyetaka Kufanana nami na kusafiria Nyota yangu Kali na ya Kimvuto hapa JamiiForums na ameshindwa na sasa haitumii tena.
 
Nimeshawaelezea Yanga SC katika Maelezo yangu na hadi Kuwapongeza unataka niseme nini tena?

au nawe Unawashwawashwa tu nami leo ili nikupe Dozi mujarab utulie na pia uanze Kunichukia?
Mm nafanya kazi Mirembe ,hususan Isanga Kwa hiyo nimewazoea!
 
Uchaguzi urudiwe yote yaishe
 
Walee wazee wa kusikia habari mbaya za Simba siwaoni humu wakikuondolea jina lako walilokubatiza la upopoma...naona meno yote nje hukoo...
Ila Simba itafika kote huko na ubingwa NBC tunaupata...
Your browser is not able to display this video.
 
Bado haujasemaa!! Yaani mpaka usemee..!!! Na utasema tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…