Simba SC kwa aibu kubwa ninayoiona inakuja na kwa upuuzi wa Ndola jana, tuwape Yanga SC nafasi yetu AFL ili wakaliheshimishe Taifa

Simba SC kwa aibu kubwa ninayoiona inakuja na kwa upuuzi wa Ndola jana, tuwape Yanga SC nafasi yetu AFL ili wakaliheshimishe Taifa

Kipa Ayubu hana tatizo tena kwa Kumuona jana tu nimegundua ana Uimara mkubwa kuliko Mnafiki Mtoto aliyeko ambaye jana baada ya Goli la Pili alikuwa akimcheka Benchini na Mchawi Mwingine aliyeko Likizo ya Kitiba sasa.
Genta...
Huu ndiyo uzi wa kumtia drip mgonjwa ili apate ahueni, tunataka kuona timu zetu zinafanya vizuri kimataifa, si kuwa tu na ushabiki wa Yanga na Simba, uzalendo uwekwe mbele. Timu zetu zinakuwa na hii siyo Simba tunayoijua, Simba inauwezo wa kufanya vizuri zaidi lakini wajitathmini kutokana na mchezo wa Ndola kabla mambo hayajakuwa ya hovyo.
 
Timu inaboa Sana kiongozi. Inakera to the maximum. GENTAMYCIME baadhi ya member wanamchukia lakini namkubali Sana mwamba kwa kuwachana ukweli(machezaji, viongozi, benchi la Ufundi na wengine kibao).
Timu isipobadilika tunapata aibu kubwa Sana mwaka huu.
Asante kwa Credits zako Kwangu Mkuu ila ID yangu ni GENTAMYCINE na siyo hiyo ya GENTAMYCIME ambayo ni Parody tu la Mwendawazimu fulani aliyetaka Kufanana nami na kusafiria Nyota yangu Kali na ya Kimvuto hapa JamiiForums na ameshindwa na sasa haitumii tena.
 
Nimeshawaelezea Yanga SC katika Maelezo yangu na hadi Kuwapongeza unataka niseme nini tena?

au nawe Unawashwawashwa tu nami leo ili nikupe Dozi mujarab utulie na pia uanze Kunichukia?
Mm nafanya kazi Mirembe ,hususan Isanga Kwa hiyo nimewazoea!
 
Mkuu ni ukweli kuwa kule ni ugenini. Lakini wale jamaa kipindi cha pili ilikuwa wafe hata nne au tano. Baleke amekosa chance nyingi Sana kisa utulivu hakuna. Mimi binafsi timu iliniboa kabisa. From no where inapigwa counter attack tunafungwa goli la pili. Uzembe Sana huu. Machezaji yetu yameshajiona ni mastaa Sana kiasi ambacho vichwa vimevimba. Yaani wakiamua Leo tucheze mpira vizuri wanacheza na wakiamua kuwa slow na kuboronga wanafanya hivyo hivyo. Kuna jinga moja golini kwetu linajidai kuokoa mpira golini kwetu kistaa(pumbavu kabisa) mara mpira ukanaswa na mpinzani na kidogo tufungwe. Kapombe naye ameanza kucheza kizamani, anapiga micross tu ambayo hata haina impact yoyote Ile (ushenzi kabisa). Anatamani kumzidi David Beckham wakati uwezo umepungua na Aina ya uchezaji kwa soka la sasa hivi imechange.They have to change.
Kocha siwezi kumlaumu Sana japo anamapungufu Yake kiasi maana baadhi ya wachezaji wanamwangusha. Natamani awape discipline waache ujinga.
Samahani Sana kama nimeongea kwa ukali ila wachezaji wanaboa Sana.
Kipindi kile Haji Manara aliwachana ukweli kwamba Wana deni kubwa Sana kwa mashabiki na mwekezaji na hawana kisingizio chochote cha kufungwa kizembe zembe Kama Jana.
Wabadilike sio Siri.
[emoji120][emoji120]
Uchaguzi urudiwe yote yaishe
 
Walee wazee wa kusikia habari mbaya za Simba siwaoni humu wakikuondolea jina lako walilokubatiza la upopoma...naona meno yote nje hukoo...
Ila Simba itafika kote huko na ubingwa NBC tunaupata...
 
Yanga bado hajacheza na timu bora .


Mwaka jana kwenye looser cup alibahatika vibonde mwaka huu tena kapata vibonde.


Tuvute subira tuone makundi kama atapata upepo wa vibonde au vipi.


Napenda yanga apate kundi kama hili tuone huo mpira anaosema anakikosi imara kama atatoboa.


View attachment 2752222
Bado haujasemaa!! Yaani mpaka usemee..!!! Na utasema tu!!
 
Back
Top Bottom