Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,184
- 4,517
Mimi ni jangwani pure,ila niongee kidogo hili. Mikia wakichanga karata zao vizuri na wakaachana na mambo ya Rivas na moto viwanjani watapenya hadi robo final.
Hesabu ziwe hivi. Wana point 3. Mechi ijayo mikia wanarudiana na Vipers hapa. Vipers watagongwa viwili hapa. Ukizingatia mikia watataka kurudisha heshima hapa na ile hamasa ya mama kununua magoli. Mikia lazima wajikamue,ushindi uko mbele yao. Point 6 tayari hapo.
Mechi inayofuata wanawafuata vinara Raja,kumbuka hapo Raja tayari watakuwa wana point 12 na kufuzu baada ya kurudiana na Horoya na kuwagonga 1-0 pale pale kwao. Hivyo Raja wakati wanarudiana na mikia tayari watakuwa kazi wameimaliza watarelux. Kwa hiyo hapo mikia watapewa bure sare iwe ya 0-0 au 1-1.
Mikia hapo watahesabu point 7.
Watarudi home kuja kumalizana na Horoya. Hapo iwe jua au mvua. Asubuhi,jioni. Afe kipa, afe beki. Hiyo mechi iwe ni finally lazima Horoya alale kimoja hapa. Kazi imekwisha. Point 10 zileeeeee paleeeee. Nafasi ya pili. Kazi kwenu.