Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Then mwambie hata huko kwao na hizo timu anasema zifungwe na simba nao wanajadili likewise.kwani wengine watakuwa wamelala tu
Mkuu usiwe unabisha kitu pasipo kufatilia kwanza. Game ya mwisho ya Simba itakuwa dhdi ya Raja na wala sio HoroyaSimba game ya mwisho anamalizia nyumbani vs horoya, uliyeanza nae ndiye utamaliza nae,
Hii ilishajadiliwa sana hapa jukwaani. Tafsiri yake ni kuwa hujiamuni na hoja yakoNikianza na hilo kuna shida gani?. Nipangie basi nianzeje?
Hiz hesabu zako zitakua na maana tu pale Raja atakapo mpiga Horoya kwao
Mbona unaoongea kama umelewa kimpumu. Simba wamecheza jana tu na kupoint 3 na ndio kiini cha hoja yangu. Sasa wewe unasema imejadiriwa sana hapa jukwaani lini wakati Simba ni jana tu wamecheza.Hii ilishajadiliwa sana hapa jukwaani. Tafsiri yake ni kuwa hujiamuni na hoja yako
Kwa hiyo raja hawakupata goli kumbe?Raja na Simba ni mechi ya mwisho kabisa. Mechi inayofuata ni dhidi ya Horoya baada ya Simba kumalizana na Vipers. Horoya kama watacheza kwa nidhamu ile waliyoinesha kwa Raja basi kuna uwezekano wa Simba kutokupata goli kama washambuliaji hawatojirekebisha. Jamaa wanajua kubana aisee