Simba SC Kwanza.. Mengine Baadae.

Hahaha.. Kwa jinsi Yanga nayo ilivyo tia maji tia maji.. Kila la heri Mkuu.
Wenzio wanamtafuta mo huko wewe unaleta porojo ngoja akosekane uone kama hamjawa wa kumi na nane
 
Wenzio wanamtafuta mo huko wewe unaleta porojo ngoja akosekane uone kama hamjawa wa kumi na nane
Hivi kwanini Ndala mnakua na vichwa vigumu hivi kuelewa?? Narudia tena ...
Kutekwa kwa Mo hakuzuii shughuli zingine zisiendelee. Jambo lipo katika vyombo vya ulinzi na usalama wanalishughulikia.. Unataka sisi wanachama kindaki ndaki tufanyaje? Si jana tu tulivyokutana katika makao ya klabu tukamuombea, kila siku tunafanya hili zoezi.. Unataka tufanye nini zaidi ya hili?
 
Simba inajua kucheza mpira wa mdomoni
Hao ndugu akili zao zote kazibeba Manara wamebaki vichwa vitupu..ndiyo maana mambumbumbu fc
Simba ni litimu la makanjanja lililo anzishwa na mganga wa kienyeji mwanamke, mafanikio siruri ingawa washabiki wake wanapiga domo la hatari
Mnajituma 100% alafu mnachapwa na mbao ya mgongo ambao wanajituma 40%
Wakuu mbona kama mna stress??
Tatizo ni nini??
Ni matokeo ya jana ya 'timu yenu' ya Taifa Stars au kuna mengine??
 
Wakuu mbona kama mna stress??
Tatizo ni nini??
Ni matokeo ya jana ya 'timu yenu' ya Taifa Stars au kuna mengine??
Mkuu wewe ndo una stresss, team yenu mmesajili kwa pesa nyingi ila wachezaji wanachofanya uwanjan hakieleweki, mpo nafas ya 5 mnaenda chini, mmechapwa na mbao na bado yule mmbabe wenu kagera atawachapa pia. Viongozi wenu wapo jela kwa utakatishaji na upigaji dili na mwingine kakimbia nchi
 
Sembo naomba matokeo ya jana Guinea vs Rwanda (Kagere)
Rwanda jana kalala 2 bila.. Ila ule msemo wa mcheza kwao hutunzwa ulitumiwa vyema jana. Kwanini?
1. Goli la kwanza la Guinea ni la penalty ambalo kiuhalisia haikua penalty.
2. Goli la 2 ni clear offside lakini refa alipeta.
Achana na hivyo visa.. kila MK14 alipokua akiingia ndani ya 18, refa alikua akipuliza filimbi kua faulo... Kwa kifupi gemu ya jana ilikua vululu-vululu.
 
Mkuu kwa ule mpira tuliowatandazia 30/09 lazima muone haueleweki, mana nyie mshazoea butua butua.
Kuhusu yanayowakuta viongozi.. Ni mapito tu. Jana yalikua kwenu.. Leo kwetu.. Huwezi jua, kesho yanaweza rudi kwenu.
 
Wakuu mbona kama mna stress??
Tatizo ni nini??
Ni matokeo ya jana ya 'timu yenu' ya Taifa Stars au kuna mengine??
Tatizo ni Mo mwisho wa mwezi umekaribia nani atalipa mishahara wachezaji?
 
Mkuu kwa ule mpira tuliowatandazia 30/09 lazima muone haueleweki, mana nyie mshazoea butua butua.
Kuhusu yanayowakuta viongozi.. Ni mapito tu. Jana yalikua kwenu.. Leo kwetu.. Huwezi jua, kesho yanaweza rudi kwenu.
Mkuu hiyo tarehe 30/9 mlichukua point ngapi? Na vipi kwenye league mpo nafasi ya ngapi?

Mpira mbinu sio kujaza vikongwe kama forward eti wakuleteee matokeo
 
Jamaa kaomba matokeo tu,hizo mbwembwe nyingine sijaona kama amezihitaji pia
 
Nafasi ya 5 sawa.. je ligi imeisha?
Yanga hajawah kufungwa na mbao?..
Ndoo tunabeba tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…