hebrews
Senior Member
- Mar 11, 2017
- 168
- 258
Wenzio wanamtafuta mo huko wewe unaleta porojo ngoja akosekane uone kama hamjawa wa kumi na naneHahaha.. Kwa jinsi Yanga nayo ilivyo tia maji tia maji.. Kila la heri Mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenzio wanamtafuta mo huko wewe unaleta porojo ngoja akosekane uone kama hamjawa wa kumi na naneHahaha.. Kwa jinsi Yanga nayo ilivyo tia maji tia maji.. Kila la heri Mkuu.
Hivi kwanini Ndala mnakua na vichwa vigumu hivi kuelewa?? Narudia tena ...Wenzio wanamtafuta mo huko wewe unaleta porojo ngoja akosekane uone kama hamjawa wa kumi na nane
Simba inajua kucheza mpira wa mdomoni
Hao ndugu akili zao zote kazibeba Manara wamebaki vichwa vitupu..ndiyo maana mambumbumbu fc
Simba ni litimu la makanjanja lililo anzishwa na mganga wa kienyeji mwanamke, mafanikio siruri ingawa washabiki wake wanapiga domo la hatari
Wakuu mbona kama mna stress??Mnajituma 100% alafu mnachapwa na mbao ya mgongo ambao wanajituma 40%
Hahaha.. Kwa jinsi Yanga nayo ilivyo tia maji tia maji.. Kila la heri Mkuu.
Mkuu wewe ndo una stresss, team yenu mmesajili kwa pesa nyingi ila wachezaji wanachofanya uwanjan hakieleweki, mpo nafas ya 5 mnaenda chini, mmechapwa na mbao na bado yule mmbabe wenu kagera atawachapa pia. Viongozi wenu wapo jela kwa utakatishaji na upigaji dili na mwingine kakimbia nchiWakuu mbona kama mna stress??
Tatizo ni nini??
Ni matokeo ya jana ya 'timu yenu' ya Taifa Stars au kuna mengine??
Bakuli kwanza mengine baadaeYanga kwanza mengine baadaye.
Rwanda jana kalala 2 bila.. Ila ule msemo wa mcheza kwao hutunzwa ulitumiwa vyema jana. Kwanini?Sembo naomba matokeo ya jana Guinea vs Rwanda (Kagere)
Mkuu kwa ule mpira tuliowatandazia 30/09 lazima muone haueleweki, mana nyie mshazoea butua butua.Mkuu wewe ndo una stresss, team yenu mmesajili kwa pesa nyingi ila wachezaji wanachofanya uwanjan hakieleweki, mpo nafas ya 5 mnaenda chini, mmechapwa na mbao na bado yule mmbabe wenu kagera atawachapa pia. Viongozi wenu wapo jela kwa utakatishaji na upigaji dili na mwingine kakimbia nchi
Tatizo ni Mo mwisho wa mwezi umekaribia nani atalipa mishahara wachezaji?Wakuu mbona kama mna stress??
Tatizo ni nini??
Ni matokeo ya jana ya 'timu yenu' ya Taifa Stars au kuna mengine??
Mkuu hiyo tarehe 30/9 mlichukua point ngapi? Na vipi kwenye league mpo nafasi ya ngapi?Mkuu kwa ule mpira tuliowatandazia 30/09 lazima muone haueleweki, mana nyie mshazoea butua butua.
Kuhusu yanayowakuta viongozi.. Ni mapito tu. Jana yalikua kwenu.. Leo kwetu.. Huwezi jua, kesho yanaweza rudi kwenu.
Bakisha maneno kiongozi! Tunaweza ungana kutembeza bakuli muda wowote! Hizi timu ni kulwa na dotoBakuli kwanza mengine baadae
Inatafuta ela ya matumizi.. njaa itawaumiza watani.Yanga iko zenji tokea juzi,imefikia hotel verde,ebu jaribu kuulizia hoyel verde ni nyota ngapi,soon Yanga inarudi kwenye peak yake
Jamaa kaomba matokeo tu,hizo mbwembwe nyingine sijaona kama amezihitaji piaRwanda jana kalala 2 bila.. Ila ule msemo wa mcheza kwao hutunzwa ulitumiwa vyema jana. Kwanini?
1. Goli la kwanza la Guinea ni la penalty ambalo kiuhalisia haikua penalty.
2. Goli la 2 ni clear offside lakini refa alipeta.
Achana na hivyo visa.. kila MK14 alipokua akiingia ndani ya 18, refa alikua akipuliza filimbi kua faulo... Kwa kifupi gemu ya jana ilikua vululu-vululu.
Nafasi ya 5 sawa.. je ligi imeisha?Mkuu wewe ndo una stresss, team yenu mmesajili kwa pesa nyingi ila wachezaji wanachofanya uwanjan hakieleweki, mpo nafas ya 5 mnaenda chini, mmechapwa na mbao na bado yule mmbabe wenu kagera atawachapa pia. Viongozi wenu wapo jela kwa utakatishaji na upigaji dili na mwingine kakimbia nchi
Kwa mdomoni mtabeba,but uwanjani msahauNafasi ya 5 sawa.. je ligi imeisha?
Yanga hajawah kufungwa na mbao?..
Ndoo tunabeba tena
Kama yanga Akilimali analipa mishahara hata cc WATALIPWATatizo ni Mo mwisho wa mwezi umekaribia nani atalipa mishahara wachezaji?
Tambwe ni kijana..? na hakugusa mpiraMkuu hiyo tarehe 30/9 mlichukua point ngapi? Na vipi kwenye league mpo nafasi ya ngapi?
Mpira mbinu sio kujaza vikongwe kama forward eti wakuleteee matokeo
Majibu ya maswali yako yote unayo mwenyeweNafasi ya 5 sawa.. je ligi imeisha?
Yanga hajawah kufungwa na mbao?..
Ndoo tunabeba tena
Unajisahaulisha moto wake sio?Tambwe ni kijana..? na hakugusa mpira