Simba SC Kwanza.. Mengine Baadae.

Simba SC Kwanza.. Mengine Baadae.

Jamaa kaomba matokeo tu,hizo mbwembwe nyingine sijaona kama amezihitaji pia
Mkuu.. Aliyeuliza swali nimeona nikimpa jibu tu halitatosha.. Ikabidi nimpe na overview ya mechi nzima ilivyokual, KARIDHIKA. Inakuaje wewe ambae hujauliza swali unakwazika na majibu yangu?
Leo CR7 wa Uganda, Okwi pamoja na Beki Kisiki, Kiboko ya Samatta, Juuko Murshid watakua dimbani kuanzia saa 10 kamili wakipambana na Lesotho. Na hii itakua ni katika mchezo wa kuwani kufuzu AFCON. Ikumbukwe Uganda, Lesotho, Cape Verde na Tanzania wapo kundi moja.

NB: Natumai sijaweka mbwembwe katika swali lako.
 
Ha ha ha ha pamoja na kuwepo kwa CR7 Wa Uganda bado hakuna mbwembwe?

Sent from my Infinix NOTE 3 Pro using JamiiForums mobile app
 
Hii ndio simba unaniekea agrey Morris, mudathiri, mwantika, ulimwengu, kessy, himid mao wacheza ndondo kweli Tanzania tumelaaniwaga tena nazani walikula ubwabwa maana walikua mrenda sana

Yaani kwangu mimi yule Mwantika, Agrey Morris, Himid Mao na Mudahir sitaki hata kuwasikia au kuwaona
 
Back
Top Bottom