ChuraSimba au paka?
hahahaaaaa........ Dawa inafanya kazi.Saido hana maajabu uwanjani.
Morrison mwehu wacha aendeHata Mimi nàtamani ibaki tetesi kama nilivyotamani la Morrison libaki tetesi.
Azam wanatuangusha sana. Tuliwatarajia kuleta ushindani wa kweli wa soka la Bongo ili kukomesha au kudhibiti japo kwa sehemu ubabaishaji wa Yanga na SimbaAzam FC mara zote wanatuaminisha hivyo katika nyakati kama hizi.
Sasa ngoja ligi ianze. Utawakataa!
Shida ndo hiyoSaidoo mchezaji mzuri sana iwapo akipata muunganiko wa timu na wakuchezeshana nae ila huko Kolo FC huo muunganiko haupo hivyo ata flop kama ilivyotokea kwa Morrison. Nae atarudi tu Yanga one day.
Hivi si walisema Saidoo kasaini Singida Big Stars?
Jipe moyo kwa chizi . Muda utaongea.Shida ndo hiyo
Morisson alifit sana na aliupiga mwingi hapa jangwani...hadi simba wakamtamani sana wakatumia kila aina ya ghirba wakamvutia kwao lakini akakosa ule muunganiko aliokua nao yanga..haweza perfom ktk kiwango walichokifikiri
Sasa amerudi kwenye timu yake ambayo ni bora mara mbili zaidi ya ile aliyotoka mwanzo...ni wazi atauwasha moto na yanga inaenda kuwa imara zaidi
Hadi sasa naamimi hatuna viongozi pale Simba.Ni suala la muda tu.Mazungumzo yameanza muda huu mchana katika ofisi za MeTL.
Simba wanataka kuimarisha eneo lililo achwa wazi na Super Ben.
Kila mwaka huwa tunasikia haya manenoAzam ya msimu unao itakuwa moto balaa. Wamrudishe sasa na Metacha Mnata, halafu wasajili mlinda mlango mwingine mahiri kutoka nje.
Yule Mzazibari kiwango chake ni cha kawaida sana.
Sio kweliSimba ilianzishwa na Wana yanga waliokosa madaraka yanga
Naomba unitunuku hyo churaChura
Endelea kubisha,uliyeanza fuatilia Simba na yanga kipindi Azam inarusha mpiraSio kweli
Wewe unaona Viongozi wa Simba SC wa sasa wana Akili? Ukiona hadi Mimi nawadharau na kuwashambulia hapa Kutwa jua ni 'Empty Sets' kabisa.Simba mnakoseaga padogo sana mnamchukua mchezaji mwenye mapenzì makubwa na yanga,mnayajua madhara yake baadae?
.Mazungumzo yameanza muda huu mchana katika ofisi za MeTL.
Simba wanataka kuimarisha eneo lililo achwa wazi na Super Ben.