Simba SC Kwenye Mazungumzo Mchana Huu na Mchezaji Aliyeachwa na Yanga Sadio Ntibanzokiza

Simba SC Kwenye Mazungumzo Mchana Huu na Mchezaji Aliyeachwa na Yanga Sadio Ntibanzokiza

Azam FC mara zote wanatuaminisha hivyo katika nyakati kama hizi.

Sasa ngoja ligi ianze. Utawakataa!
Azam wanatuangusha sana. Tuliwatarajia kuleta ushindani wa kweli wa soka la Bongo ili kukomesha au kudhibiti japo kwa sehemu ubabaishaji wa Yanga na Simba
 
Hawa viongoz WA simba wanajua kupiga porojo tu na propaganda wamemuacha Yule dogo sopu kurahis Sana
 
Saidoo mchezaji mzuri sana iwapo akipata muunganiko wa timu na wakuchezeshana nae ila huko Kolo FC huo muunganiko haupo hivyo ata flop kama ilivyotokea kwa Morrison. Nae atarudi tu Yanga one day.
Hivi si walisema Saidoo kasaini Singida Big Stars?
Shida ndo hiyo
Morisson alifit sana na aliupiga mwingi hapa jangwani...hadi simba wakamtamani sana wakatumia kila aina ya ghirba wakamvutia kwao lakini akakosa ule muunganiko aliokua nao yanga..haweza perfom ktk kiwango walichokifikiri

Sasa amerudi kwenye timu yake ambayo ni bora mara mbili zaidi ya ile aliyotoka mwanzo...ni wazi atauwasha moto na yanga inaenda kuwa imara zaidi
 
Jipe moyo kwa chizi . Muda utaongea.
 
Mazungumzo yameanza muda huu mchana katika ofisi za MeTL.

Simba wanataka kuimarisha eneo lililo achwa wazi na Super Ben.
Hadi sasa naamimi hatuna viongozi pale Simba.Ni suala la muda tu.
 
Azam ya msimu unao itakuwa moto balaa. Wamrudishe sasa na Metacha Mnata, halafu wasajili mlinda mlango mwingine mahiri kutoka nje.

Yule Mzazibari kiwango chake ni cha kawaida sana.
Kila mwaka huwa tunasikia haya maneno
 
Kama hizi tetesi za Saidoo kwenda Simba ni kweli basi ni hakika sasa watu wanaojua mpira na fitina zake wamewekwa pembeni pale Simba na usajili anafanya mtu asiyeujua mpira au vinginevyo timu haina fungu la kutosha kufanya usajili. Saidoo umri na pancha za kutosha halafu Simba imsajili si bora wangemvumilia Morison na tabia zake mbovu?
 
Simba mnakoseaga padogo sana mnamchukua mchezaji mwenye mapenzì makubwa na yanga,mnayajua madhara yake baadae?
Wewe unaona Viongozi wa Simba SC wa sasa wana Akili? Ukiona hadi Mimi nawadharau na kuwashambulia hapa Kutwa jua ni 'Empty Sets' kabisa.
 
Mazungumzo yameanza muda huu mchana katika ofisi za MeTL.

Simba wanataka kuimarisha eneo lililo achwa wazi na Super Ben.
.
FB_IMG_1611660294488.jpg
 
Back
Top Bottom