GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Itapungukiwa shabikiUsiposhangilia Simba unahisi Simba itapungukiwa kitu?.
Kweli ujinga ni mzigo
Unataka kususa...susaa Afu toa unafiki wako hapaItapungukiwa shabiki
Kwanini MUSIMU huu msimfukuze mo? Kwa hasira tujue mmeamua kufanya mabadiliko.Kusema kweli musimu huu unaoisha walizingua, sasa ni wakati mwafaka wakajua kuwa hatutovumilia upuuzi mwingine musimu ujao.
Huyo atakushukia kama mwewe subiri utaniambiaš¤Ivi wewe matola amekuchulia mke ama?
Tutamsajili yanga kama ManarašUsiposhangilia Simba unahisi Simba itapungukiwa kitu?.
Kweli ujinga ni mzigo
Wasipokusoma huku wapigie simu mkuuNajua Mo Dewji, CEO Barbara, Mshauri Magori na Msemaji Ahmed mnanisoma mno tu JF huu ndiyo Ujumbe Kuntu Kwenu.