Simba SC Ligi Kuu ya NBC inamalizika rasmi Kesho kama hamtaachana na Kocha Matola mje na Benchi Jipya siwashangilii tena

Simba SC Ligi Kuu ya NBC inamalizika rasmi Kesho kama hamtaachana na Kocha Matola mje na Benchi Jipya siwashangilii tena

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Najua Mo Dewji, CEO Barbara, Mshauri Magori na Msemaji Ahmed mnanisoma mno tu JF huu ndiyo Ujumbe Kuntu Kwenu.
 
Usiposhangilia Simba unahisi Simba itapungukiwa kitu?.
Kweli ujinga ni mzigo
 
Mzee kaloga sana yule inaonekana maana watakuja wataonoka ila yeye atakuwepo YUPO!
 
Shida si Matola, Shida viongozi wengi waliobaki msimbazi wamekuja na mbio za mwenge. Kwasasa waliobaki akuna kiongozi wa kuwasaidia kupata ubingwa mtachezea vitasa mbaka mtachanganyikiwa.
Walio fanya mipango ya kumuondoa Manji wali isaidia sana Simba kutawala soka la Bongo, ila kwasasa msahau ubingwa ata wa kombe la kashata.
 
NATANGAZA KULIPA NAULI YA MUGALU ARUDI KWAO DRC, hatufai kabisa labda acheze Timu kama Coastal Union ndio size yake, lkn kwa Simba Mugalu HAPANAAAAA. Nitafurahi sana aaagwe gemu na Mbeya kwanza Atupishee
 
Aacha wivu matola kakosea Nini? Mwacheni huyo mbululaaa
 
Ni mind game tu..ni kama tui la nazi na maziwa..
 
Back
Top Bottom