AlexBaraka
New Member
- Apr 4, 2019
- 1
- 2
ubingwa wa kupangwaaaa
mwisho wasiku ni ubingwa mistake wamefanya TFF kwa ratiba ambayo kidogo haikuwa mjarabuubingwa wa kupangwaaaa
Hesabu ndogo nipigayo hivi Yanga ingeshinda michezo yake yote kweli kunamtu angesema Simba kapangiwa ubingwa wakati kilamtu kashinda michezo yake?Hii ni kwawale wote wanaosema ubingwa wa simba ulipangwa. Swali je! Yanga ingekua ndio simba inapangiwa mechi kila baada ya siku 1 ingeweza kutwaa ubingwa na kikosi chake dhaifu?
tuhache masihara simba kutwaa ubingwa haikua rahisi hata kidogo. Kama sio uzoefu wa champions legue na ubora wa wachezaji simba isingekua bingwa.
yanga kilichowaponza ni hali mbaya ya uchumi wa club uliopelekea kushusha morali ya wachezaji. Huwezi kucheza vizuri huku unawaza hujalipwa mishahara na posho familia inateseka. Hivyo yanga isitafute visingizio bali wajipange kutafuta fedha na kuwalipa wachezaji kwa wakati.
ubingwa wa kupangwaaaa
Mtani wapi nimekosea, mbona kwenye list ya watu wa Nguvu moja sipo....!!!!@ShadeeyaNgoja nikuitie hawa wana Nguvu moja wenzio muje mushangilie wote maana sijui kama leo wamekwenda kuwajibika.
Sesten Zakazaka , Shunie, Ghazwat , OKW BOBAN SUNZU , Sanchez magoli , 100 Likes , Sapta Sapta , King Ngwaba , Van pebles Don Clericuzio , 3llyEmma , Snipes.
Nisamehe Mtani najuaga we huwa unabeep kuingia jf hivyo nikahisi hutaona ujumbe kwa wakati yaani mpaka ukifika mtakuwa mnaugulia maumivu ya Sevilla. πMtani wapi nimekosea, mbona kwenye list ya watu wa Nguvu moja sipo....!!!!@Shadeeya
Club Bingwa Ya Soka NchiniNgoja nikuitie hawa wana Nguvu moja wenzio muje mushangilie wote maana sijui kama leo wamekwenda kuwajibika.
Sesten Zakazaka , Shunie, Ghazwat , OKW BOBAN SUNZU , Sanchez magoli , 100 Likes , Sapta Sapta , King Ngwaba , Van pebles Don Clericuzio , 3llyEmma , Snipes.
Wacha uwongo, Moo mwenyewe kagahiri kuwapa bonus ya 5m badala yake kaamua kutoa bodaboda, na hii ni baada ya kutumia mkwanja mrefu kwa manunuzi ya ubingwa.Hii ni kwawale wote wanaosema ubingwa wa simba ulipangwa. Swali je! Yanga ingekua ndio simba inapangiwa mechi kila baada ya siku 1 ingeweza kutwaa ubingwa na kikosi chake dhaifu?
tuhache masihara simba kutwaa ubingwa haikua rahisi hata kidogo. Kama sio uzoefu wa champions legue na ubora wa wachezaji simba isingekua bingwa.
yanga kilichowaponza ni hali mbaya ya uchumi wa club uliopelekea kushusha morali ya wachezaji. Huwezi kucheza vizuri huku unawaza hujalipwa mishahara na posho familia inateseka. Hivyo yanga isitafute visingizio bali wajipange kutafuta fedha na kuwalipa wachezaji kwa wakati.
Hapana aisee, mm nasubiria useme wale sio Sevilla...Nisamehe Mtani najuaga we huwa unabeep kuingia jf hivyo nikahisi hutaona ujumbe kwa wakati yaani mpaka ukifika mtakuwa mnaugulia maumivu ya Sevilla. [emoji28]
Hahaaa. Haya Mtani.Hapana aisee, mm nasubiria useme wale sio Sevilla...
Anacheza hesabu za credit and debt side...Hahaaa. Haya Mtani.
Ila Mo ni balaa.