Simba sc mabigwa TPL

Simba sc mabigwa TPL

Hii ni kwawale wote wanaosema ubingwa wa simba ulipangwa. Swali je! Yanga ingekua ndio simba inapangiwa mechi kila baada ya siku 1 ingeweza kutwaa ubingwa na kikosi chake dhaifu?

tuhache masihara simba kutwaa ubingwa haikua rahisi hata kidogo. Kama sio uzoefu wa champions legue na ubora wa wachezaji simba isingekua bingwa.

yanga kilichowaponza ni hali mbaya ya uchumi wa club uliopelekea kushusha morali ya wachezaji. Huwezi kucheza vizuri huku unawaza hujalipwa mishahara na posho familia inateseka. Hivyo yanga isitafute visingizio bali wajipange kutafuta fedha na kuwalipa wachezaji kwa wakati.
 
Hesabu ndogo nipigayo hivi Yanga ingeshinda michezo yake yote kweli kunamtu angesema Simba kapangiwa ubingwa wakati kilamtu kashinda michezo yake?
 
ubingwa wa kupangwaaaa

Jamani shughuli na majirani zako.

Taarifa kuhusu kamati mbalimbali zinazohusika na hafla ya ubingwa wa Simba
Mapokezi - Coastal Union
Ulinzi - Ruvu Shooting
Usafiri - Stand United
Mapambo - Mbeya City
Kuni - Mbao FC
Vinywaji - Azam
Kuosha sahani, masufuria na usafi mwingine- Yanga🐸🐸 (Hawa wanatakiwa kuwahi mapema eneo la tukio)
Muziki-Prisons

Chai na Vitafunwa kwa wageni watakaowahi- Mtibwa Sugar
Tutaendelea kuwatajia kamati kadri muda unavyozidi kwenda.

Simba SC
Nguvu moja
 
Mtani wapi nimekosea, mbona kwenye list ya watu wa Nguvu moja sipo....!!!!@Shadeeya
Nisamehe Mtani najuaga we huwa unabeep kuingia jf hivyo nikahisi hutaona ujumbe kwa wakati yaani mpaka ukifika mtakuwa mnaugulia maumivu ya Sevilla. 😅
 
Kuna watu bado wanasubiria simba apoteze mechi zote ili wao wachukue ubingwa 😂😂
 
Pesa imekuwa ngumu.

Mo alitoa ahadi ya kuwapa wachezaji million 5 kila mmoja "wakichukua" ubingwa. Ubingwa "wamechukua" na badala ya million 5 kila mmoja yasemekana atampa pikipiki kila mmoja.

Mhindi kacheza kweli. Million 5 ni wastani wa pikipiki mbili. Akili mkichwa.
 
Wa
Hii ni kwawale wote wanaosema ubingwa wa simba ulipangwa. Swali je! Yanga ingekua ndio simba inapangiwa mechi kila baada ya siku 1 ingeweza kutwaa ubingwa na kikosi chake dhaifu?

tuhache masihara simba kutwaa ubingwa haikua rahisi hata kidogo. Kama sio uzoefu wa champions legue na ubora wa wachezaji simba isingekua bingwa.

yanga kilichowaponza ni hali mbaya ya uchumi wa club uliopelekea kushusha morali ya wachezaji. Huwezi kucheza vizuri huku unawaza hujalipwa mishahara na posho familia inateseka. Hivyo yanga isitafute visingizio bali wajipange kutafuta fedha na kuwalipa wachezaji kwa wakati.
Wacha uwongo, Moo mwenyewe kagahiri kuwapa bonus ya 5m badala yake kaamua kutoa bodaboda, na hii ni baada ya kutumia mkwanja mrefu kwa manunuzi ya ubingwa.
 
Back
Top Bottom