Kelvin Richard
Senior Member
- Jul 26, 2017
- 123
- 87
Tena kelele ambazo mwisho wake zinageuka aibu kwake.Yaani ukweli ni kwamba Yanga ni timu ya wastaarabu na watu wenye ufahamu mkubwa sana maana Hudumu ktk mikakati ya kufanikisha ubingwa lkn mambumbumbu fc wenyewe huishia kupiga kelele wakiongozwa na Manara
Umeanzisha uzi kuhusu ligi kuu 2017/2018. Nashangaa unazungumzia point za msimu wa 2016/2017. Ndio maana nilisema hapo awali huelewi hata mada uliyoanzisha mwenyewe. Ninyi ndio mnaingia Taifa na kuwasumbua Red Cross pamoja na ambulanceWewe unaeleweka? Ulikimbilia FIFA kudai points tatu ambazo ulifungwa na kagera goli 2-1, ukagomea taji la ushindi wa pili wa ligi kuu, ukakubali kucheza na bigwa wa ligi kuu usiyo mtambua..niambie nani hapo haeleweki?
Jibu hoja acha kurukaruka kama maharage yamebandikwa jikoniUmeanzisha uzi kuhusu ligi kuu 2017/2018. Nashangaa unazungumzia point za msimu wa 2016/2017. Ndio maana nilisema hapo awali huelewi hata mada uliyoanzisha mwenyewe. Ninyi ndio mnaingia Taifa na kuwasumbua Red Cross pamoja na ambulance
Sawa tuachane na hayo Dada Monica kiukweli unautesa moyo wanguAliowaita hivyo ni mwenzenu Rage maana anashawachezea vichwa vyenu sana na kuthibitisha umbumbumbu wenu
Acha kuzuga rudi kwenye mada
Anayo Jamal Malinzi kule. ..........Amewaambia ukweli...emu tupe taarifa juu ya rufaa yenu ya FIFA kwanza
Hakuna hoja dada, vua kikuku ukalaleJibu hoja acha kurukaruka kama maharage yamebandikwa jikoni
Hivi umeishia darasa la ngapi wewe?Yaani nyie watu aliyewaita mambumbumbu anawafahamu vzr sana, maana mnadhani kwa kushinda mechi moja ndiyo tayari mmeshakuwa mabingwa.
Hata kama mnaulimbukeni wa kombe la ligi kuu lkn si kwa kelele hizo...
Timu yenyewe mliocheza nayo ilikuwa ni second eleven lkn hamuishi kujisifia ujinga!
Huyo mkongwe okwi sijui nani alibahatisha tu , hana lolote jipya...
Kaeni kimya wekeni akiba ya maneno ligi ndiyo kwanza imeanza
Alibahatisha ndiyo...nakuhakikishia ndiyo ameishia hapoUnapata wapi uthubutu, wa kusema Okwi hana lolote? Sawa Ruvu, walikua 2nd eleven.. Na vipi kuhusu timu bora Africa, yenye mabeki bora kwa sasa, Misri.. nako alibahatisha?
Jamaa ndani ya mechi 2 za msimu huu ana goli 5, ni mchezaji gani dunia hii mwenye goli 5 ndani ya mechi 2? Huoni kua hili ni jipya??
ANGALIZO.. Ukimuita Okwi Mkongwe, Unakula 4.
NB. Yule mfungaji bora wa ligi ya Ghana ambayo ni bora na ngumu, Gyan ameshawasili mitaa ya Msimbazi. JIANDAENI.
Hahaaa. Kweli kabisa cha zaidi amepewa mdomo wa kuropoka.Yaani ukinyimwa akili una shida sana katika dunia hii
[emoji23] [emoji23]Hahaaa. Kweli kabisa cha zaidi amepewa mdomo wa kuropoka.
Eti Yanga wanasema wametoa sare makusudi kwa kuwa eti miaka yote huwa wanaanza kwa kuchechemea. Endeleeni kuchechemea, nakwambia mtateremka daraja msimu huu. Sumu haijaribiwi kwa kulamba!