Simba SC 'mambumbumbu' acheni kelele ndiyo kwanza ligi imeanza

Simba SC 'mambumbumbu' acheni kelele ndiyo kwanza ligi imeanza

Wewe unaeleweka? Ulikimbilia FIFA kudai points tatu ambazo ulifungwa na kagera goli 2-1, ukagomea taji la ushindi wa pili wa ligi kuu, ukakubali kucheza na bigwa wa ligi kuu usiyo mtambua..niambie nani hapo haeleweki?
Umeanzisha uzi kuhusu ligi kuu 2017/2018. Nashangaa unazungumzia point za msimu wa 2016/2017. Ndio maana nilisema hapo awali huelewi hata mada uliyoanzisha mwenyewe. Ninyi ndio mnaingia Taifa na kuwasumbua Red Cross pamoja na ambulance
 
Jibu hoja acha kurukaruka kama maharage yamebandikwa jikoni
 
Acha kuzuga rudi kwenye mada

Unapata wapi uthubutu, wa kusema Okwi hana lolote? Sawa Ruvu, walikua 2nd eleven.. Na vipi kuhusu timu bora Africa, yenye mabeki bora kwa sasa, Misri.. nako alibahatisha?
Jamaa ndani ya mechi 2 za msimu huu ana goli 5, ni mchezaji gani dunia hii mwenye goli 5 ndani ya mechi 2? Huoni kua hili ni jipya??
ANGALIZO.. Ukimuita Okwi Mkongwe, Unakula 4.

NB. Yule mfungaji bora wa ligi ya Ghana ambayo ni bora na ngumu, Gyan ameshawasili mitaa ya Msimbazi. JIANDAENI.
 
Yaani nyie watu aliyewaita mambumbumbu anawafahamu vzr sana, maana mnadhani kwa kushinda mechi moja ndiyo tayari mmeshakuwa mabingwa.

Hata kama mnaulimbukeni wa kombe la ligi kuu lkn si kwa kelele hizo...

Timu yenyewe mliocheza nayo ilikuwa ni second eleven lkn hamuishi kujisifia ujinga!

Huyo mkongwe okwi sijui nani alibahatisha tu , hana lolote jipya...

Kaeni kimya wekeni akiba ya maneno ligi ndiyo kwanza imeanza
Hivi umeishia darasa la ngapi wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapata wapi uthubutu, wa kusema Okwi hana lolote? Sawa Ruvu, walikua 2nd eleven.. Na vipi kuhusu timu bora Africa, yenye mabeki bora kwa sasa, Misri.. nako alibahatisha?
Jamaa ndani ya mechi 2 za msimu huu ana goli 5, ni mchezaji gani dunia hii mwenye goli 5 ndani ya mechi 2? Huoni kua hili ni jipya??
ANGALIZO.. Ukimuita Okwi Mkongwe, Unakula 4.

NB. Yule mfungaji bora wa ligi ya Ghana ambayo ni bora na ngumu, Gyan ameshawasili mitaa ya Msimbazi. JIANDAENI.
Alibahatisha ndiyo...nakuhakikishia ndiyo ameishia hapo
 
Halafu washabiki wa Yanga wasiozimiazimia wametulia kwani wanajua kinachoendelea, hawa madada wanaozimiazimia viwanjani eti ndio wanakuja kuanzisha uzi
 
Hahaaa. Kweli kabisa cha zaidi amepewa mdomo wa kuropoka.
[emoji23] [emoji23]
Ni rahisi sana kuingoza simba maana wapenzi ,wanachama na mashabiki wake wana ufahamu mdogo sana I mean wengi wao walikimbia shule...wanaamini kila uongo
 
Waache wapige kelele halafu mwisho wa ligi wanakataa kuvaa medali za washindi wa pili [emoji16][emoji16][emoji16]

Waache walete mbwembwe shambani tutakutana sokoni tu aisee
 
Hahaaa. Chungu lakini dawa. Wana simba mmekuja juu ndio utani wa jadi huo. Hakuna viti humu mjue sa sijui mtang'oa nini ala ala na simu zenu msije zitupa kwa hasira.

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Back
Top Bottom