Simba SC 'mambumbumbu' acheni kelele ndiyo kwanza ligi imeanza

Halafu mbona kama binti fulani mrembo halafu unaongea kwa jizaba hivi, hebu tulia kwanza wanaume (SIMBA) wafanye yao
 
Kuna mada hapo zaidi ujinga ujinga ulioandika hapo?andika na ujinga mwingine tuijue vizuri rangi yako
Kwa umbumbumbu wako huwezi kuona kama kuna mada ndiyo maana hata viongozi wa TFF kwa sababu ni zao la mambumbumbu hata maandishi ya ngao ya jamii yamewatia aibu ....pole sana mkuu fungu la umbumbumbu umelichagua mwenyewe
 
Utakuwa na stress za kuzalishwa na kuachwa wewe sio bure
 
Halafu mbona kama binti fulani mrembo halafu unaongea kwa jizaba hivi, hebu tulia kwanza wanaume (SIMBA) wafanye yao
Eti wanaume! Wanaume gani wanashindwa kupigania points uwanja wana kwenda kudai mezani
 
Hahahaha! Naona umeanza maneno ya kike! Stress wanazo mambumbumbu kwa kukosa kombe kwa miaka nitano
Unawapa without mincing words.
Mwaka wa tano huu na kila wakati huanza ligi hivi hivi. Msimu huu wana Karia Msomali na Wambura. Zigo la kumtwisha Malinzi halipo tena.
 
Hahahaha! Naona umeanza maneno ya kike! Stress wanazo mambumbumbu kwa kukosa kombe kwa miaka mitano

Wasumbue wasiokujua tu
 
Unawapa without mincing words.
Mwaka wa tano huu na kila wakati huanza ligi hivi hivi. Msimu huu wana Karia Msomali na Wambura. Zigo la kumtwisha Malinzi halipo tena.
Mkuu hawa watu nina mashaka sana na ufahamu wao , Manara anawaharibu sana
 
Una msongo wa mawazo na unaelekea kukudatisha,hili sio jalala tafuta jalala achana na Simba
 
Naona mashost mmekutana,mnapiga umbea.Mambo ya Simba na Azam yanawahusu nini.
Ni sehemu ya ligi mkuu. Mtu anaweza kwenda FIFA ili kubadili msimamo wa ligi. Kila mechi inaihusu kila kitu timu kwa maana hiyo!
 
Una msongo wa mawazo na unaelekea kukudatisha,hili sio jalala tafuta jalala achana na Simba
Nakuona ni mtu asiyejielewa asiye na uwezo wa kujenga hoja, asiyejiamini, mwenye jazba, limbukeni, mbumbumbu, asiyejiamini...zao la umalaya wa mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…