Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Usihamaki. Weye umeleta uzi ukitaka sisi WanaSimba tuhamaki. Tuna maneno ya hatari sana. Hata danadana sijui kupiga ila ntakucharaza kwa maneno. Si umelianzisha? Usikimbie. Halafu kutaja wazazi ni great taboo! Usijaribu utaumia. Halafu umeanza kujikokolea!Kila mwanamke anahitaji bwana hata mama yako alikuzaa kwa kukutana na bwana