Simba SC 'mambumbumbu' acheni kelele ndiyo kwanza ligi imeanza

Simba SC 'mambumbumbu' acheni kelele ndiyo kwanza ligi imeanza

Kila mwanamke anahitaji bwana hata mama yako alikuzaa kwa kukutana na bwana
Usihamaki. Weye umeleta uzi ukitaka sisi WanaSimba tuhamaki. Tuna maneno ya hatari sana. Hata danadana sijui kupiga ila ntakucharaza kwa maneno. Si umelianzisha? Usikimbie. Halafu kutaja wazazi ni great taboo! Usijaribu utaumia. Halafu umeanza kujikokolea!
 
Umeayataka mwenyewe, mm sijaribiwi kaa chonjo
 
Umeayataka mwenyewe, mm sijaribiwi kaa chonjo
Umeanza kulegea kama unameza makopa ya kinyamwezi! Chura ni chura tu. Anafaa kwa kufanyiwa "disection" kuanzia kwenye wowowo lake. Yaani kuwatwanga watu saba mmevimbisha midomo kama mpepigwa na mwiko wa pilau harusini?
 
Unajua nani alianza kulegea kabla yangu? Natamani nikueleweshe lkn ngoja nikuweke akiba ....zao la ulegevu wewe
 
Hahahahaaa! Mtani moniccca! Unaonekana una "flat screen" ndiyo maana unaweweseka. Hujui uyumbie wapi. Masikini wee! Mke wa Tshishimbuzi!
You sound like a lady bila shaka mikono yako inasugu kwa sababu ya kushikilia ukuta , [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
You sound like a lady bila shaka mikono yako inasugu kwa sababu ya kushikilia ukuta , [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
And, I hope that there is no shemale along my way! I sincerely hope that the "o" of yours is like a hole in the nut's shabby head!Siyo kila vazi lisilo na miguu uite sketi. Nyingine ni misuli. Bana miguu mtani utapata mimba bure!
 
duh,..wadau mbona matusi yanazidi humu..watu wa sports huwa hatuna matusii jamani
 
Yaani nyie watu aliyewaita mambumbumbu anawafahamu vzr sana, maana mnadhani kwa kushinda mechi moja ndiyo tayari mmeshakuwa mabingwa.

Hata kama mnaulimbukeni wa kombe la ligi kuu lkn si kwa kelele hizo...

Timu yenyewe mliocheza nayo ilikuwa ni second eleven lkn hamuishi kujisifia ujinga!

Huyo mkongwe okwi sijui nani alibahatisha tu , hana lolote jipya...

Kaeni kimya wekeni akiba ya maneno ligi ndiyo kwanza imeanza
Mashabiki wa Tanzania pekee!
 
Thubutuu. Labda uongozi wa TFF uendelee na madudu kama miaka yote
Na mwaka huu Tff mmeiteka nyara; mwenyekiti- Karia, makamu- Wambura, kaimu katibu mkuu - Wilfred Kidau na 90% ya wajumbe wa kamati ya utendaji ni wa kwenu! Sijui mkishindwa msimu huu mta mtwisha nani lawama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo mimbumbumbu haitakosa sababu mkuu
 
Back
Top Bottom