Licha ya kuwa na mechi muhimu, hakuna mdau yeyote wa mikia aliyechangamkia kuanzisha thread kama ilivyo ada. Hali hii imechangiwa na sababu mbili kubwa:
Mosi, mwenendo mbovu wa mikia hao.
Pili, kandanda safi la Dar Young Africans dhidi ya waarabu jana.
Kwa kawaida wadau hushindana kuanzisha uzi ili kupata haki ya uanzilishi.
Simba wapo bunju na mafyekeo yao wanang'oa visiki jana walikua wanang'oa viti apo taifa
Leo mkia anacheza na nani?
Nani alikwambia kwamba uzi lazima uanzishwe na shabiki wa timu husika?
Simba jana walikuwa uwanja wa Taifa kwa ajili ya kung'oa viti na leo asubuhi walivipakia kwenye bus lao wamevipeleka kwenye uwanja wanaoujenga kule Bunju!
Na wazee wa wiki. Muulize Masau Bwire.
Mimi siko uwanjani, sina TV wala radio, unataka nianzishe halafu hizo update natoa wapi au nitakuwa nasubiri nyie muweke hizo update na mimi ndo naziboresha?Mkuu anzisha basi.
ahaaahaaa....mkuu umenichekesha sana!!Mimi siko uwanjani, sina TV wala radio, unataka nianzishe halafu hizo update natoa wapi au nitakuwa nasubiri nyie muweke hizo update na mimi ndo naziboresha?
Mkuu nadhani sijaeleweka vizuri, hivyo vitu vyote nyumbani vipo ila huku niliko sina access navyo, afadhali leo simu yangu haitaniangusha angalau nitakuwa na access na internet, siku ya kina Bunu na Swita hata Internet sikuwa nayo.ahaaahaaa....mkuu umenichekesha sana!!
naona leo umeikana hadi redio yako, pole mkuu.