Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
huko taifa kwenyewe watakaa wapi maana viti vyote wameng'oa!mpira acheze yanga viti wang'oe simba!!
Aden Rage kawaandalia majamvi na vigoda...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huko taifa kwenyewe watakaa wapi maana viti vyote wameng'oa!mpira acheze yanga viti wang'oe simba!!
ha ha ha ha ha ha ha!hiyo sasa itakuwa hitima si soka tena!Aden Rage kawaandalia majamvi na vigoda...
vipi bingwa kulikoni!!Wewe mtoa thread nadhan mwehu...
nilijua upo home mkuu,Mkuu nadhani sijaeleweka vizuri, hivyo vitu vyote nyumbani vipo ila huku niliko sina access navyo, afadhali leo simu yangu haitaniangusha angalau nitakuwa na access na internet, siku ya kina Bunu na Swita hata Internet sikuwa nayo.
Mbona jana tulianzisha tena mapema kabisaMliotangulia kukoment wote ni mashabk wa Ndala, Lakn czan kama mtaanzsha thread cku ya marudiano huko cairo.
nilijua upo home mkuu,
pamoja!
mkuu nimeanzisha thread ya game yenu tayari..Huyu jamaa inabidi abadili title ya thread hii hii ili tuendeleze kuona vitu vya Amis Tambwe Magoli hapa hapa, yaani Simba sahivi tunajivunia mfungaji bora tu labda na timu yenye nidhamu hivi tumeshawahi kupata red card hata moja kweli?
Asante kiongozi, ngoja niende nikaone kama Tambwe ameshafanya mambo.mkuu nimeanzisha thread ya game yenu tayari..
Mpira sisi basi! Tumeamua kuwa wakulima wa mihogo Bunju!!!
Pamba JijiLeo mkia anacheza na nani?
dahSimba wapo bunju na mafyekeo yao wanang'oa visiki jana walikua wanang'oa viti apo taifa