Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ud songo atakutana na simba kivip apoWanasimba wenzangu tujiandae kisaikolojia. Dalili zipo wazi kwamba hatutaweza kuwatoa FC Platnum.
Shida kubwa ni dalili zinazoonyesha kwamba play off tutakayoangukia tutajikuta miguuni mwa UD Songo ambayo inacheza mechi yake kesho dhidi ya NAPSA , UD Songo inapewa nafasi kubwa kuitoa NAPSA.
Tupigeni magoti tusali.
Nyie kima wa Utopolo nani aliyewaroga?Wanasimba wenzangu tujiandae kisaikolojia. Dalili zipo wazi kwamba hatutaweza kuwatoa FC Platnum.
Shida kubwa ni dalili zinazoonyesha kwamba play off tutakayoangukia tutajikuta miguuni mwa UD Songo ambayo inacheza mechi yake kesho dhidi ya NAPSA , UD Songo inapewa nafasi kubwa kuitoa NAPSA.
Tupigeni magoti tusali.
Usututetemeshe simba inatoboa sawasawa hata Zimbabwe tulihitaji tukifungwa nasi tupate goli ama tushinde yote tunamshukuru Mungu ila tunatoboa war in dar.Wanasimba wenzangu tujiandae kisaikolojia. Dalili zipo wazi kwamba hatutaweza kuwatoa FC Platnum.
Shida kubwa ni dalili zinazoonyesha kwamba play off tutakayoangukia tutajikuta miguuni mwa UD Songo ambayo inacheza mechi yake kesho dhidi ya NAPSA , UD Songo inapewa nafasi kubwa kuitoa NAPSA.
Tupigeni magoti tusali.
Hivi ni shilingi ngapi vile kwa kila timu inayoingia hatua ya makundi ?Sidhani kama Simba watakubali kuachia yale madola kizembe kama mwaka jana..kule kambini morali iko juu,wanasemwa sana na uongozi! Kuna ahadi wamepewa ila haitangazwi..hata hivyo tayari mipango iko vizuri kwa asilimia 65 kilichobaki ni ndani ya uwanja..
Anamaanisha kama simba atatolewa hapa basi anaenda shirikisho na huko shirikisho ndio alipo UD SONGOSimba akifuzu hapa dhidi ya Platnum anaingia kwenye hatua ya makundi
Sasa wewe Uto hiyo taarifa ya kucheza na hao mabwana zenu ud songo sijui umedanganywa na Antonio nugaz
Ni kichaa tu anaemini mikia yatashinda kesho
Mbona hamkupata goliUliangalia game ya kwanza ya kule Zimbabwe??Uliangalia Statistics zake baada ya Game?Mbona zote ukiondoa tofauti ya goli moja zilikuwa in favour of Simba??
Vipi spray za kwenye vyumba zishafika?Sidhani kama Simba watakubali kuachia yale madola kizembe kama mwaka jana..kule kambini morali iko juu,wanasemwa sana na uongozi! Kuna ahadi wamepewa ila haitangazwi..hata hivyo tayari mipango iko vizuri kwa asilimia 65 kilichobaki ni ndani ya uwanja..
AhaaaUnajua kuwa Simba hii kwa uchache itaingia Nusu Fainali Champions League?Subiri wakati utakujibu vizuri.Tukutane hapa jumatano saa 1 kamili
Bilioni moja na m kadhaaHivi ni shilingi ngapi vile kwa kila timu inayoingia hatua ya makundi ?
Yenu ni hayo tuVipi spray za kwenye vyumba zishafika?
Una la kusema mpaka hapa??Simba 4-0 Platinum, Simba ndani ya Makundi.Safari inaendeleaHa Ahaaa
Simba hii uchochoro nusu fainal.
Hapana bana, tuwe realistics hata makundi haufiki
Inarudi shirikisho
HahahaaaaNi kichaa tu anaemini mikia yatashinda kesho
Bila shaka sasa umeelewa somoMbona hamkupata goli